mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,655
Yeye ni kwa sababu ni rais wa wanyonge. Alikuwa mnyonge sawa na ninyi¿¿¿♧♧sijaelewa hii statement inahusianaje na kongamano la leo. Naomba aliyeelewa anielewesha.
Tahadhari: Matusi hayajengi
Yeye ni kwa sababu ni rais wa wanyonge. Alikuwa mnyonge sawa na ninyi¿¿¿♧♧sijaelewa hii statement inahusianaje na kongamano la leo. Naomba aliyeelewa anielewesha.
Tahadhari: Matusi hayajengi
Hakuwa na maadui..enhe.. kwanini alinusurika kupinduliwa mara 2? kwanini watu hawakuwa huru kuongea wakati wa utawala wake kwa kuogopa kukamatwa?Sikweli, maana hakuwa na maadui, aliwahi kusema ukiwa rais afu unazungukwa na vifaru ujue unashida na matatizo na raia/wananchi wako.
Kwa muda huu alivyokosa vya kuzindua akaona bora aje na kongamano ili kutulisha Matango.Kumbe Lipumba alikuwepo mtaalamu wa uchumi Tanzania nzima lakin bado hajapewa nafasi ya kuzungumza.kweli kazi sana.Bila shaka hili Kongamano lilipangwa huenda kwa shinikizo la rais mwenyewe.Maana limegeka jukwaa la kumnadi Magufuli ambaye bei yake na thaman inzidi kuporomoka siku hadi siku
Huyu ni mmoja wa wale watoto wa smartphone. Watoto wanaovaa jeans zinazobana.Hivi binti uliwezaje kuolewa? I pity that husband of yours, yaani kama ule upupu wa profesa "macho kodo" unaita madini!
Nasubiri kuona kama atazungumzia suala la watu kuuawa na kutekwa mfano Mo.maana siasa pia inahusika leo kwenye kongamano.Kwa muda huu alivyokosa vya kuzindua akaona bora aje na kongamano ili kutulisha Matango.
Mkuu macho hayana pazia,anyway nafuatilia madaFuatilia mada wewe, hayo mengine achana nayo
Nasubiri kuona kama atazungumzia suala la watu kuuawa na kutekwa mfano Mo.maana siasa pia inahusika leo kwenye kongamano.
Kwani mada kuu ya kongamano ni ipi!!!???
Si kweli, Nyerere huyu ni mjuaye?? Kuna hotuba yake ya mwaka 1969, anahimiza walimu wafunze vijana kuhoji mambo ya nchi yao. Ila ni huyuhuyu Nyerere amejenga kile tunachojivunia kama misingi ya taifa naomba rusha namba pm nikutumie clips zake akidai maendeleo ya kweli ya mtu ni uhuru.Hakuwa na maadui..enhe.. kwanini alinusurika kupinduliwa mara 2? kwanini watu hawakuwa huru kuongea wakati wa utawala wake kwa kuogopa kukamatwa?