Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,500
- 7,432
Ni kweli wapo wa hivyo ila tupo tunaopenda magazetiKuna watu wanaandika makala humu kwa kiswahili lakini kuna watu huwa wanalalamika makala imekuwa 'gazeti'
Ni kweli wapo wa hivyo ila tupo tunaopenda magazetiKuna watu wanaandika makala humu kwa kiswahili lakini kuna watu huwa wanalalamika makala imekuwa 'gazeti'
Nilitamani sana nikimaliza hii Diploma yangu nianze kuitafuta Degree kisha niisake Masters yangu na nimalizie na PhD yangu hatimaye nami nije kuwa Profesa ila kwa ' Uwasilishaji ' mbovu ambao sikuutegemea kutoka kwa Maprofesa Moshi na mwenzake Qorro naona ni bora tu nimalizie hii hii Diploma yangu inanitosha na niendelee na maisha yangu kwani sioni tena faida ya Kusoma na kuja kuwa ' Academician ' kama hawa wa sasa wanatuonyesha tu ' Upopoma ' wao uliotukuka.
Ni kweli kabisa, tatizo ni moja tu! anaminya demokrasia.. akirekebisha hapo atakuwa raisi wa kuigwa kuwahi kutokea barani Afrika. ViVA JPMBillioni 400 za mishahara hewa kila mwaka,
Mtumishi mmoja anakuwa na watumishi hewa 17,
Sio bure haya mafisadi yanapiga sana kelele baada ya mirija yao kukatwa,
Fedha za uma ziligeuka fedha za baadhi ya watu...
Kama mtu una akili timamu lazima uone uzuri wa Magufuli.
Huyu Rais anahitaji sana support yetu.
Haters lazima wawepo, kuna binadamu hatuna jema hata serikali ifanyaje lazima tupinge na kuchukia, sasa sijui tunachukia ili nchi iendelee kuwa masikini au vipi, lakini pia criticism ni muhimu kwa ustawi wa nchi, sio vizuri kusifia tu bila kuonyesha changamoto zinazotukabili.Billioni 400 za mishahara hewa kila mwaka,
Mtumishi mmoja anakuwa na watumishi hewa 17,
Sio bure haya mafisadi yanapiga sana kelele baada ya mirija yao kukatwa,
Fedha za uma ziligeuka fedha za baadhi ya watu...
Kama mtu una akili timamu lazima uone uzuri wa Magufuli.
Huyu Rais anahitaji sana support yetu.
Kitima ajipange..maana Bash boy kaova react na mzee baba kam crush,off roadnlitaka kuuliza same thing. anamaana gani, wana ugomvi au?
sawa kwani wewe unataka nini???Bora wasikuchague maana hata kuandika tu hujui unataka ukaongee nini sasa?
hawa watu wanachekesha Kabudi kasha sema yote, Raisi kajikuta hana cha kusema ni kurudia yale yale
Yaani raisi anafanya remix ya kabudi.
anasema watendaji na yeye wamechukua mawazo ya watu na watayafanyia kazi, nikawaza mawazo gani maana mwanzo mwisho ni kusifia ujinga
Nimepiga mstari hapa, nitakuja kuchangia baadayeChuo Kikuu cha UDSM.
Unataka umfahamu nini?umewahi kukutana nao wapi hao maprofesa ?
Wamekufundisha kozi gani na mwaka gani?
positive kama zipi? weka tuoneJamani hivi 'kwenu' ni negatives tu hakuna positives???!!!