mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,655
Illogical kabisa.Yaani mawzo yako ni pumba sana.Katika hili nakupinga.Mukandala amezungumza vema, tena vizuri tu. Lakin bado amezungumza kwa woga. Woga sio kitu kizuri kwa maendeleo ya taifa.Alitakiwa azungumze yote anayoona ni sahihi.Lakin najua huwezi kuelewa kwa kuwa wewe ni mwana Fisiem. Ila amini nakwambia Mukandara ameongea vitu vichache sana.Anaonekana hataki kumkwaza mtu mkubwa kitu ambacho kimerudisha nyuma
Labda hiyo 60% ni yako, ya Mkeo na wana Ukoo wako wote ila narudia tena kusema kwa namna ya ' Uwasilishaji ' wake nina uhakika kuwa IQ ya Profesa Mkandala ni ya 100% na ya wale Maprofesa wawili nikiwapa sana basi nawapa 8% tu kwani sijaona walichokiwasilisha ' sensible ' na ' logical ' ila katika Kutetemeka, Kubabaika na Kujipendekeza nawapa 100%.