mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,655
Roma KatorikiHivi huyu padri alierusha nyundo kwa jiwe ni nan??
Roma KatorikiHivi huyu padri alierusha nyundo kwa jiwe ni nan??
Mkuu unafuatlia mjadala au una comment tu?Hawezi hata kuthubutu kufungua mdomo. Ataitwa uhamiaji kwamba si raia.
PROFESSORIAL RUBBISH, YAANI TAKATAKA KABISA-TL
Sio kweli mkuu IQ yake haiko 100% ipo angalau 60%.Natamani hata nipate dakika tano ( 5 ) tu nikutane nae nimpongeze na nimwombe anipunguzie angalau hata 15% ya IQ yake kubwa na ' tukuka ' ambayo ipo 100%. He's a typical ' Academician ' Mkuu na amewazidi kwa mbali mno hao akina Profesa Moshi na Qorro.
Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana MukandaraNatamani hata nipate dakika tano ( 5 ) tu nikutane nae nimpongeze na nimwombe anipunguzie angalau hata 15% ya IQ yake kubwa na ' tukuka ' ambayo ipo 100%. He's a typical ' Academician ' Mkuu na amewazidi kwa mbali mno hao akina Profesa Moshi na Qorro.
U mwabamke pekee ninaye muona akifuatilia issue za maanw humu jf..!
Sasa utaona matokeo ya hicho alichosema.Mkuu unafuatlia mjadala au una comment tu?
Tayari amekosoa tume ya uchaguzi na mengineyo mbele ya mkulu.
DHANA YA “UJAMAA NA MAENDELEO YA VIWANDA” PAMOJA NA DHANA YA IPO SIKU TUTAITUMIA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Kama ilivyo wanadamu tuna mahitaji mengi ya msingi na tukiwa tumetimiza miaka 19 ya kifo cha Mwalimu Nyerere, ni vyema tukatafakari kama taifa lenye watu wapatao 59,000,160 litawezaje kujikimu katika masuala ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni. Hapo ndipo utangundua ni ukweli usiopingika kuwa muda wa serikali kutekeleza falsafa ya ujamaa ulioboreshwa umefika ili kutengeneza ajira, na nchi kupiga hatua kubwa kuelekea uchumi wa kati 2025.
Ili kufikia dira hiyo, kwa kipindi cha miongo kadhaa watanzania imekuwa ikijikita kwenye uchumi wa kutoa huduma badala ya uzalishaji mathalani uchumi wa nyumba za kupanga, bodaboda, simu n.k. Hali iliyopelekea vijana wengi wasomi wakiwa mitaani bila ajira pamoja na kuwa tegemezi kwa jamii. Kutokana na hali hiyo, kuna haja kwa viongozi kuweka mazingira yatakayofanikisha sera ya ujamaa pamoja na sera ya ubepali kutumika ili kufikia azma ya serikali ya viwanda na kufanya miundombinu ya reli na barabara kutumika ipasavyo. Madhalani, Serikali inaweza tumika taasisi zake ikiwemo NHC kujenga jamii zenye nguvu (Communities) kwa kujenga nyumba (miji) yenye tija katika maeneo ya uzalishaji na kuajiri vijana kama ilivyoanzishwa taasisi ya Kilimo (Mbeya) na Mpwapwa (Dodoma).
Utekelezaji makini wa Sera ya Mixed Economy nchini kutasaidia kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wa kiwango cha medium zone pamoja na kuongeza uzalishaji utakaosadia kuongeza bidhaa, utulivu wa shilingi, utulivu wa kisiasa na kudumisha amani nchini. “hivyo ni vyema wanasiasa mkasaidia maandalizi ya kuanzisha vituo vya uwekezaji kulingana na mahitaji ya eneo na wakati husika” kwani ni ukweli usiopigika kuwa tatizo la ajira linaathari siyo katika jamii ya Tanzania pekee pia hata nchi zilizoendelea hivyo ni wakati wa kufunga mkanda (Benjamini Willium Mkapa) kwa maendeleo endelevu.
TATIZO LA VIJANA WALIOWENGI NI NYUMBA (kulipa kama bia kuelekea kwenye umiliki wake) + TRACTOR
MORE STRATEGIES (attached)
Hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmejikuta nacheka eti elimu ilitoka kagera ikaja hapo Musoma hahahahaha tusingewatupa majeshini mkapige pishapu mngekuwa na maprofesa wanao jielewa sio wale wakina Mhongo au muogo?
Sasa nimeanza Kumuelewa Mtani wangu wa Mkoani Singida Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu juu ya hawa ' Maprofesa ' wetu hasa hawa wa Tanzania.
Shikamoo Tundu Lissu popote pale ulipo!
Natamani hata nipate dakika tano ( 5 ) tu nikutane nae nimpongeze na nimwombe anipunguzie angalau hata 15% ya IQ yake kubwa na ' tukuka ' ambayo ipo 100%. He's a typical ' Academician ' Mkuu na amewazidi kwa mbali mno hao akina Profesa Moshi na Qorro.
Mchungaji kanifurahisha Sana kawachana live madc na rc pamoja na tume ya uchaguzi huyu ndiye msomi huru
Wanawake wapo mmu na celebrity forumsU mwanamke pekee ninaye muona akifuatilia issue za maanw humu jf..!