Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Mkuu inamaana maprofesa hawalipwi vizuri au? Huko kwenye mawizara wanapiga pesa tu.Mfano prof.Mkumbo bado sijaona mchango wake katika sekta ya maji.Prof.Ndalichako pia bado kabisakabisa
 
Ukiona mkutano au kongamano linarushwa na TBC1 ujue huo mkutano au kongamano limeandaliwa na chama cha Bashiru na serikali ya huyu nungunungu.
 
Dakika mbili mbili utajenga hoja kweli ikaeleweka?
 
Wameniangusha mno Mkuu yaani ni bora hata tu wasingekubali kwenda hapo Kongamanoni Nkurumah kwani ' wamejichoresha ' na ' wamedharaulika ' kwa kiasi fulani vile vile. Hebu angalia ' Confidence ' ya Kutukuka kabisa ya Profesa Mkandala hadi ' Presentation ' yake inavutia na inakufanya usichoke na usiboreke kumsikiliza. Huyu kweli ni ' Academician ' kabisa na alifanya vyema ' research ' yake pamoja na ' preparation ' ya anachokifanya leo tofauti na hao wenzie Wawili Profesa Moshi na Profesa Qorro ambao Kipaumbele chao kilikuwa ni Kusifia na Kujikomba tu ama kuendelea kuaminiwa au kutafuta Cheo / Fursa / Madaraka.
Hatuwezi jua, labda Prof. Moshi anajaribu kujenga kadaraja kakuunganisha Chato na Kilimanjaro (Uchagani). Maana maisha yamebadirika sana, sasa hivi akina Mengi sasa hivi ni kama vile wapo detained
 
Waruhusu maswal kwa njia ya message tumchane jiwe
 
Tayari wameshaanza kuimba mapambio. La kwanza LA leo ni kumsifia kwa kuteua wahadhiri katika nafasi mbalimbali za uongozi!
🎵zaimwaso pesa imwaaa belelabelela Congo ya mobutu🎶 . Joseph wazabanga kuku mobutu seseseko aliyekuwa rais wa Zaire baada ya kuwatawala kwa mabavu wazairwaa walikuwa kutwa wakimsifu kwa nyimbo na mapambio huku akipewa sifa za kinafiki na hata kutungiwa nyimbo na lwambo luanzo makiadi lakini kila mmoja wetu anajua hali ya Congo ya sasa. Sasa tuendelee kumsifu Magu kinafiki huku akitusindikiza shimoni
 
Acheni watu watoe hisia zao juu ya kiongozi wao mzalendo wa kweli.
 
Wameniangusha mno Mkuu yaani ni bora hata tu wasingekubali kwenda hapo Kongamanoni Nkurumah kwani ' wamejichoresha ' na ' wamedharaulika ' kwa kiasi fulani vile vile. Hebu angalia ' Confidence ' ya Kutukuka kabisa ya Profesa Mkandala hadi ' Presentation ' yake inavutia na inakufanya usichoke na usiboreke kumsikiliza. Huyu kweli ni ' Academician ' kabisa na alifanya vyema ' research ' yake pamoja na ' preparation ' ya anachokifanya leo tofauti na hao wenzie Wawili Profesa Moshi na Profesa Qorro ambao Kipaumbele chao kilikuwa ni Kusifia na Kujikomba tu ama kuendelea kuaminiwa au kutafuta Cheo / Fursa / Madaraka.
Wamejizalilisha kama wasomi kwa kweli mkandara alijiandaa hotuba yake ilikuwa nzuri ka balance mambo penye kusifia kasifia pia katoa recommendations nzuri kwa Raisi prof Moshi kajizalilisha mno. Hongera kwa mkandara huyu ni mubobevu sana aisee
 
Back
Top Bottom