Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Wa China ni hatari kuanzia kiutu uharibifu wa mambo mengi pia
Ni kwelii kabisa, jamaa hawa ubinadamu kabisa na watu tofauti na wachina wenzao ukitaka kujua ukatili wa wachina fatilia maisha wanayoishi watu wa Tibet na Taiwan pia honkong'o huko ni balaa tupu, ukija huku Africa ndo kabisaaa
 
Amefanya fair.Hajataka kumuudhi mkubwa.Ila ukiona hivyo hajaridhika bado na miaka mitatu ya
Professor Mukandala ameitendea haki nafasi aliyopewa hasa hitimisho lake kwa kuwa wazi kuwa ni ngumu sana kusema Rais amefanikiwa au laa hasa kwa kigezo cha quantity ambacho huwezi kukipima kama hisia za watu nk
 
Hakuna nchi katilii kama China hasa kwa rais huyu wa sasa!! Africa tutaumia sana, matter of time
Viongozi wa Afrika wanaipenda China sio kwa sababu hawajui kuwa CHINA ni nchi yenye watu katili sana na wasiojua kitu kinachoitwa haki na Uhuru wa watawaliwa kueleza maumivu wanayopata kutoka kwa watawala bali wanachoipenda China ni kwa sababu haijali wala kukemea au kuonya juu ya dhulma za watawala kwa wananchi wao .

Lakini ukweli ni kwamba China anataka kuanzisha ukoloni mpya kabisa kupitia watawala wetu katili na itafanikiwa sana mana watawala wetu wanachotaka ni madaraja na mareli ,jambo ambalo China itawajengea kwa haraka sana. Watawala wetu watafanikiwa sana kujisifu na kuonyesha hayo madaraja huku wananchi wakilia machozi na damu wakati huo wengi watakua na miaka over 70-80 na wengine watakua wameshatangulia mbele za haki na kuwaachia msala wa madeni wajukuu zetu mana watakua maskini wasio na chochote zaidi ya kuwaruhusu wachina wamamie rasilimali zetu zote.

Hili lingekwepeka kama tungewekeza kwenye rasilimali zetu kwanza na kutumia uwezo halisi tulio nao bila kuwadhoofisha wananchi hasa wafanyabiashara kwa kodi, wakulima kwa kuchukua fedha zao kama za korosho , wafanyakazi kwa kuwanyima nyongeza ya mishahara na wasomi kwa kuziba mianya ya ajira rasmi na hata binafsi kwa kupambana na wawekezaji!!
 
Professor Mukandala ameitendea haki nafasi aliyopewa hasa hitimisho lake kwa kuwa wazi kuwa ni ngumu sana kusema Rais amefanikiwa au laa hasa kwa kigezo cha quantity ambacho huwezi kukipima kama hisia za watu nk
Kautendea haki uprofessa wake!
 
Wamejizalilisha kama wasomi kwa kweli mkandara alijiandaa hotuba yake ilikuwa nzuri ka balance mambo penye kusifia kasifia pia katoa recommendations nzuri kwa Raisi prof Moshi kajizalilisha mno. Hongera kwa mkandara huyu ni mubobevu sana aisee
U mwanamke pekee ninaye muona akifuatilia issue za maanw humu jf..!
 
Woyooo.Barbarosa namuonanamuona nasifia jiwe tu.Kama ndio hivi ndio maana uvccm wataendelea kudeki vyoo maana hakuna point zaidi ya mapambio
 
Wamejizalilisha kama wasomi kwa kweli mkandara alijiandaa hotuba yake ilikuwa nzuri ka balance mambo penye kusifia kasifia pia katoa recommendations nzuri kwa Raisi prof Moshi kajizalilisha mno. Hongera kwa mkandara huyu ni mubobevu sana aisee

Natamani hata nipate dakika tano ( 5 ) tu nikutane nae nimpongeze na nimwombe anipunguzie angalau hata 15% ya IQ yake kubwa na ' tukuka ' ambayo ipo 100%. He's a typical ' Academician ' Mkuu na amewazidi kwa mbali mno hao akina Profesa Moshi na Qorro.
 
Naomba aliye karibu / jirani na Profesa Mkandala ( Mtani wangu wa Kihaya ) ampe mkono wa hongera kwa niaba yangu na amwambie kuwa GENTAMYCINE nimemkubali na namkubali sana kwani ' uwasilishaji ' wake umenifanya nione tofauti kubwa kati ya Msomi wa Chuo Kikuu na Mhitimu wa Chuo Kikuu.

Ni Mwerevu sana
Ni Mzungumzaji mzuri
Ni Mkweli na hana Unafiki
Ni Mwenye Kujiamini na anakiamini kile anachokiwasilisha
Ni Mchambuzi wa Masuala aliyetukuka
Ni Hazina ya kweli kwa Wasomi wajao
Ni Mwanafasihi mzuri sana huku akijua kucheza vyema na ' Diplomatic Language '


Sijawahi kuona Mhaya ' Popoma ' na sishangai kuona au kusikia kwamba hata hapa Tanzania Elimu ilianzia Kwao Mkoani Kagera ( Bukoba ) ikaja kuweka Makao Makuu yake Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )

Shikamoo Profesa Mkandala.
Hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmejikuta nacheka eti elimu ilitoka kagera ikaja hapo Musoma hahahahaha tusingewatupa majeshini mkapige pishapu mngekuwa na maprofesa wanao jielewa sio wale wakina Mhongo au muogo?
 
Afu kumbe wamama wako vizuri sana.Maana naona hata huyu wa Botany ameongea vema.Mama ni nondo.Hongera kwake
 
Back
Top Bottom