Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

I agree with you mkandala alijiandaa vzuri na Kuwa serious pia akafanya tafiti vzuri. Raisi atumie ushauri wake uko vzuri
Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana Mukandara
 
Naomba aliye karibu / jirani na Profesa Mkandala ( Mtani wangu wa Kihaya ) ampe mkono wa hongera kwa niaba yangu na amwambie kuwa GENTAMYCINE nimemkubali na namkubali sana kwani ' uwasilishaji ' wake umenifanya nione tofauti kubwa kati ya Msomi wa Chuo Kikuu na Mhitimu wa Chuo Kikuu.

Ni Mwerevu sana
Ni Mzungumzaji mzuri
Ni Mkweli na hana Unafiki
Ni Mwenye Kujiamini na anakiamini kile anachokiwasilisha
Ni Mchambuzi wa Masuala aliyetukuka
Ni Hazina ya kweli kwa Wasomi wajao
Ni Mwanafasihi mzuri sana huku akijua kucheza vyema na ' Diplomatic Language '


Sijawahi kuona Mhaya ' Popoma ' na sishangai kuona au kusikia kwamba hata hapa Tanzania Elimu ilianzia Kwao Mkoani Kagera ( Bukoba ) ikaja kuweka Makao Makuu yake Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )

Shikamoo Profesa Mkandala.
Mh. Rais asiwachomoe wote huko mavyuoni ili kuepuka kutengeneza vaccum ya wataalam waliofundwa vyema.
 
Dah mkuu unajua kuchunguza aisee huu mjadala ni muhimu kwa nchi yetu bwana hafu wanawake tunakwepa haya mambo though yana tu affect wote
Inaudhi sana, ninapoona watu hasa wanawake wanajitenga na issues za msingi ila kupiga midomo wakidai haki sawa, unajua huwezi kudai haki usiyoijua. Cha ajabu niko zangu porini huku nimetafuta hakuna ata redio moja inarusha huu mdahalo.

Nafuatilia masalia ya hapa jf, nikiwa dsm nilikuwa mchangiaji na mhudhuriaji mkubwa wa vitu vya hivi.
 
Sio kweli mkuu IQ yake haiko 100% ipo angalau 60%.

Labda hiyo 60% ni yako, ya Mkeo na wana Ukoo wako wote ila narudia tena kusema kwa namna ya ' Uwasilishaji ' wake nina uhakika kuwa IQ ya Profesa Mkandala ni ya 100% na ya wale Maprofesa wawili nikiwapa sana basi nawapa 8% tu kwani sijaona walichokiwasilisha ' sensible ' na ' logical ' ila katika Kutetemeka, Kubabaika na Kujipendekeza nawapa 100%.
 
Huyu Jesca John yuko intelligent sana...anataka iwepo...'succession plan ya baada ya Rais aliyepo'.….na namna ya kuboresha anayoyakuta
 
Baada ya kuwasikiliza kwa kina wachokoza mada wa mdahalo wa hali ya kisiasa na uchimi nchini pale UDSM katika ukimbi wa Nkurumah nimegundua kuna tofauti kubwa kati ya profesa kamili na profesa mshiriki katika uelewa, uwezo na uhamili kwa kuchambua na kuwasilisha mada husika.

Katika wale wachokoza mada wa tano, wanne walikuwa ni maprofesa washiriki na mmoja tu ni profesa kamili ambaye ni Ryekaza Mukandala. Mukandala ameonesha utafauti mkubwa sana kwa kufanya tathimin kubwa na na kuelezea kwa kina hoja zake zote kwa mpangilio unao onesha mtililiko sahihi wa alichokuwa anakiwasilisha.

Hongera mkandala mana ' umewafunika maprofesa wenzako ' tumewaona kuwa ni ' wakawaida tu '. Hapa nimegundua tofauti kati ya profesa kamili ( yuko nodo) na tofauti na profesa mshiriki (ni wakawaida) tu
 
Madent hao wameandaliwa speech hasa huyo wa mwanzo huyu wa pili kajiongeza kwenye mazungumzo yake
 
Na kosa ndo Hilo linalotokea mwishowe ikifika uchaguzi wanawake wengi hutumika ka daraja kwa vile wengi uelewa sio mpana sasa. Wanawake sisi tuna nguvu sana yamabadiliko
Inaudhi sana, ninapoona watu hasa wanawake wanajitenga na issues za msingi ila kupiga midomo wakidai haki sawa, unajua huwezi kudai haki usiyoijua. Cha ajabu niko zangu porini huku nimetafuta hakuna ata redio moja inarusha huu mdahalo.

Nafuatilia masalia ya hapa jf, nikiwa dsm nilikuwa mchangiaji na mhudhuriaji mkubwa wa vitu vya hivi.
 
I will be counteracting & intelligently opposing you with vivid facts..!! Ukiona mtu mrefu strong & colored na in CCM uniform ndio mm..!! Plz usikae beside me anything painful and unethical can happen..!!😳
Acha kupiga mkwara ww ukifanya chochote amabacho ni unethical bila kujari ww ni nani ndani ya ccm tutakushughulikia
 
Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana Mukandara

Usipomuelewa Profesa Mkandala basi ni lazima tu utakuwa na ' Utaahira ' na ' Uwendawazimu ' ulitukuka na ulioshindikana kutibiwa / kutibika katika Hospitali zote duniani. Uwasilishaji wake leo ulikuwa ni ' excellent ' kabisa na natamani arejee Chuoni japo kwa muda mchache tu atuzalishie akina Mkandala wengine ambao baadae nao watakuja kuwa tegemeo kwa Tanzania yetu hata kama hawatokuja kuwa Maprofesa kama Yeye.
 
jamaa unavyo wakaanga najikuta nawaona kama bashite tu kumbe wamenizidi mbali sana.

siamini leo nimejiona nna akili/uwezo kuliko mushi/qorro, asante sana mtoa bandiko kunifanya leo nijione mtu.
 
Back
Top Bottom