Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Kongamano linaharibiwa na wachangiaji sasa sijui waliandaliwa daaaaaaaaaahhhhh!!!!!!!
 
Nimezima tv yenyew naona hawa maprofesa na wachangiaj wote wana hofu ya kuhoji maan kila mtu nikusifia tu magu
 
Nyepesi akitokeza hapo ghaflaa lazima mtu fudenge azimie [emoji23][emoji23][emoji23]kongamano linageuka kongo moyo

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Ninafuatilia mjadala hapo Nkruma Hall, lakini mbona naona ni kama kongamano la ccm? Inaonyesha kabisa limepangwa kumsifia tu malaika? Kwa nini hawasemi kuhusu hali ya siasa? Kwa nini hawasemi ukikwaji wa katiba unaofanywa na Rais mwenyewe.

This is rubbish!!!!
 
Kubishana / Kujibizana na ' Taahira ' ni Kazi nzito na ngumu sana.
Nilichogundua ni kuwa wewe Genta ni mtu mwenye very low IQ kuliko nilivyodhani. Hujui vitu vingi saana.Kasome bro uongeze ujuzi.Kutokujua vingi sio dhambi.

Lakin pia inawezekana hangover ya mapombe ndo inakusumbua asubuhi hii.Acha pombe hazikupendi.
 
Leo nitasimamisha mambo yangu kwa muda ili niungane na Rais wangu kwenye Kongamano hilo
Padre Kitima wa Baraza la Maaskofu anasema

Kuna tatizo kwenye tume ya Uchaguzi naomba iongelewe

Kuna tatizo kwa watendaji wa chini wananyanyasa wananchi mfano Wakuu wa Wilaya

Uchumi umekuwa lakini kwa wananchi haionekani. Sekta binafsi ijengwe ambayo itasaidiana na Serikali. asanteni
 
Wachangiaji wengi wameandaliwa hakuna cha maaana wanachouliza au hoji ukimwondoa Proffesa Charles Kitima,ona Mwita Mwikabe Waitara aiseeeee!!!!!!
 
Hili siyo kongamano ni kikao cha kumsifu jiwe hakuna ambaye ameweza kuongea jambo la kumsaidia mwananchi zaidi ya kusifia huu utawala ambayo umekandamiza demokrasia kuliko tawala zote duniani
 
Ninafuatilia mjadala hapo Nkruma Hall, lakini mbona naona ni kama kongamano la ccm? Inaonyesha kabisa limepangwa kumsifia tu malaika? Kwa nini hawasemi kuhusu hali ya siasa? Kwa nini hawasemi ukikwaji wa katiba unaofanywa na Rais mwenyewe.

This is rubbish!!!!
Padre Kitima wa Baraza la Maaskofu anasema

Kuna tatizo kwenye tume ya Uchaguzi naomba iongelewe

Kuna tatizo kwa watendaji wa chini wananyanyasa wananchi mfano Wakuu wa Wilaya

Uchumi umekuwa lakini kwa wananchi haionekani. Sekta binafsi ijengwe ambayo itasaidiana na Serikali. asanteni
 
Usijali kwa hilo

Nitashukuru sana Mkuu kwani huku Kisiwani Puerto Rico na huko uliko Tanzania ni mbali mno hivyo nitakushukuru nami nikipata hiyo ' hard copy ' ya ' Presentation ' ya Profesa Mkandala. Nisalimie mno huko Tanzania uliko!
 
Hili siyo kongamano ni kikao cha kumsifu jiwe hakuna ambaye ameweza kuongea jambo la kumsaidia mwananchi zaidi ya kusifia huu utawala ambayo umekandamiza demokrasia kuliko tawala zote duniani
Padre Kitima wa Baraza la Maaskofu anasema

Kuna tatizo kwenye tume ya Uchaguzi naomba iongelewe

Kuna tatizo kwa watendaji wa chini wananyanyasa wananchi mfano Wakuu wa Wilaya

Uchumi umekuwa lakini kwa wananchi haionekani. Sekta binafsi ijengwe ambayo itasaidiana na Serikali. asanteni
 
Wameniangusha mno Mkuu yaani ni bora hata tu wasingekubali kwenda hapo Kongamanoni Nkurumah kwani ' wamejichoresha ' na ' wamedharaulika ' kwa kiasi fulani vile vile. Hebu angalia ' Confidence ' ya Kutukuka kabisa ya Profesa Mkandala hadi ' Presentation ' yake inavutia na inakufanya usichoke na usiboreke kumsikiliza. Huyu kweli ni ' Academician ' kabisa na alifanya vyema ' research ' yake pamoja na ' preparation ' ya anachokifanya leo tofauti na hao wenzie Wawili ambao Kipaumbele chao kilikuwa ni Kusifia na Kujikomba tu ama kuendelea kuaminiwa au kutafuta Cheo / Fursa / Madaraka.
Si umesikia pale yule aliekuwa anamtambulisha Alisema Ni Full professor!!
 
Na bahati nzuri ukikutana nao kwa ' one to one ' ni Wazungumzaji wazuri sana lakini hata wakiwa wanafanya ' Lecturing ' zao Chuo Kikuu cha UDSM huwa ni wazungumzaji wazuri na watoa ' Madini ' makubwa ila nimeshangaa na nimesikitika kuona wakiwa ' Mdahaloni ' mahala fulani muda wote wakiwa ' wanatetemeka ', ' hawajiamini ' na ' wanaogopa ' mno.

Nao ni Maprofes Moshi na mwenzake Qorro.

Nawasilisha.
Hao ni wasaka teuzi kwa jiwe
 
Nilichogundua ni kuwa wewe Genta ni mtu mwenye very low IQ kuliko nilivyodhani. Hujui vitu vingi saana.Kasome bro uongeze ujuzi.Kutokujua vingi sio dhambi.

Lakin pia inawezekana hangover ya mapombe ndo inakusumbua asubuhi hii.Acha pombe hazikupendi.

Tena kwa taarifa yako nikinywa Pombe au nikichangamsha Kichwa changu na Jani ndiyo nakuwa ' Mwerevu ' kuliko unavyodhani na huwezi jua yawezekana hivi ninavyotiririka na kuserereka nama hii tayari ' nipe vyema ' ndiyo maana unaona hadi nimeweza Kugundua ' Upopoma ' wako kwa haraka.
 
Back
Top Bottom