mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,271
- 4,655
Kabudi ni mjinga sanaa.Hivi hawa maprof.wetu wanamatatizo makubwa sana.Aiseee inasikitisha sana.Sielewi hata anaongea nini Kabudi
Ukijalibu kuona hata hata hajaribu kutoa mapendekezo ya nini kifanyike lakin anasifu tu.Haoni mwenzie prof Shivji.? Kweli kwa namna hii kama kuna mtu anategemea Noah za Barrick basi afute kabisa mawazo yake.