Ila sijayazidi yaliyopo katika Koo zako zote mbili bila kusahau Familia yako.
Haifai hata kuwanukuu!Wengine wameaemaje
Kabudi naona kazi yake ni kumsifu tu MagufuliHili ni Kongamano la Hali ya uchumi na siasa au Kongamano la "kusifu" na "kuabudu"??
Madini aina gani?Anaongea msomi Profesa Kabudi. Madini matupu.
Wamesema Mzee wa chato ni mkombozi wetu kwa sera zake za viwanda na kwamba Tanzania tuna bahati ya kuwa na mtu kama yeye. Wamesema amefanya vizuri kuminya sekta binafsi na badala yake shughuli za uchumi ni vizuri zikaendeshwa na serikali badala ya sekta binafsi. Wewe hapo unaonaje?Wengine wameaemaje
Tanzania inapaa chini ya uongozi wa Magufuli.Wengine wameaemaje
Madini aina gani?
Copper Concentrate kutoka Bulyanhulu.Madini aina gani?
Quinine, ndiyo maana sikuja kwa sababu watu watasema kwa kuogopa after effects! hawatasema ukweli wanaouamini. Prof sawa amejaribu kama ulivyosema lakini ilibidi atoe definite conclusion: Amefeli, amefaulu, au 50:50 say 60% amefeli and (definitely 40% atakuwa amefaulu) something of that nature.Hotuba yako ilikuwa fair, umesema wazi uongozi haupimwi kwa quantity wala Nia ya kutenda pekee bali unapimwa kwa ustawi wa watu unaowaongoza, kuridhika kwao, furaha waliyonayo mitaani, uwezo wa kumudu maisha.
Kasema jeshi la polisi halitendi haki, halina uwezo linatumia mbinu zilezile zilizotumiwa na jeshi hilo enzi za awamu ya kwanza.
Akahitimisha kwa kusema hawezi kusema rais Magufuli kafanikiwa ama la.
Kwangu mimi prof. Mukandala amekuwa presenter mzuri zaidi ya wengine.
Wengine mna GPA za 2.7 hapa.
Wasio na hiyo kitu wapo kimyaaa!!!!!Binafsi naomba unitake radhi upesi sijui kwa wengine.
Huyu ameandaliwa kuja kuvuruga hoja makini..... yaani huyu kazi yake ni kueleza sifa za awamu ya tano.Bashite kakaa na mzee warioba yule aliyemkwida tanganyika jeki duhhhh
Hivi huyu prof. kalamaganda mbona simuelezi elewi embu nielewesheni