This is just a bunch of hooligans...!!
Nchi hii imejaa Majitu yanayojiita Ma-Profedha(Professor) kumbe ni Waganga Njaa tu na hakuna lolote!!Hvi unategemea nini kwa Maprofedha wenye akili za kina::
- Profedha Kabudi Pumalanga Kabundi? Kazi ni mbwembwe na kuisfia Jiwe kama ndo mungu wake.
- Profedha Kitila Mkumbo? Mpinzani kutoka CHADEMA na ACT-Wazalendo leo kahongwa na CCM kwa Ukatibu Mkuu-nonsense.
- Profedha Mkandala? Kazi kusifia Jiwe tu hata kwa mambo ya hovyo. Ni aibu kwa Wasomi wa kiwango hicho kushikiwa akili na Daktari Jiwe tena kwa Udaktari wa kughushi. Pro-fedha mzima anatetea Kiswahili kwa vile Rais Magufuli hajui Kiingereza!!Hivi Kiswahili kina tija gani kwa nchi zaidi ya miaka 50 tunaongea Kiswahili mmepata nini? Kenya wenzetu wanatumia Kiingereza kuanzia Kindergatten mpaka University....1 Kshs= 22 Tshs. Kiswahili na Kiingereza wapi na wapi?
- Baba wa Taifa hakuwa mjinga aliposema WATANZANIA LAZIMA WAJIFUNZE KIINGEREZA MAANA NI KISWAHILI CHA DUNIA..!!Hivi leo hapa Tanzania tuna mtu ana busara, hekima na kipawa cha uongozi zaidi ya Mwalimu? Jibu ni NO....!Wapuuzi wa CM wanadiriki hata kusema Magufuli ati kafanya mambo makubwa kuliko hata Baba wa Taifa....shame on you CCM hooligans. Mtawapotosha wale ambao hawakumwona na kumsikia Mwalimu.
- Loading.....