Hukijui kizungu acha kutuzinguaRais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda
Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Kumbe anasoma JF maana ni JF tu watu wanaweza andika kuwa haju Ki- Malkia! Loh! yupo humu ni mwenzetuRais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda
Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Lambert were chemistry books?Hatuwezi kushangaa ulipatitaje huko kwani wewe ni bingwa wa kukariri. Kama uliweza kukariri vitabu vya Lambert vol 01 hadi 04 enzi zako za sec tutashangaa nn hapo???
Post of the day! Nimecheka mpaka basi!baada ya kula kinyesi mbwa alimsihi sana chura asitoe siri watakaporudi nyumbani..
waliporudi nyumbani kutoka porini chura akawa anahema "crrrr crrrr"
mbwa kuona vile akadakia
"pengine chura anataka kusema, pengine anataka kunisemea huyu"
familia ikamuuliza "kusema nini"
mbwa akafunguka "eti nimekula mavi"
Anashangaza sana huyu mtu!!Kuandika na kuongea ni viwili tofauti
Siku ukifa utaenda kumwuliza Baba wa Taifa kwanini alisitiza Watanzania wajifunze Kiingereza. Tatizo lako na wajinga wenzake mmemambkizwa kaugonjwa kanaitwa Magufulism.....!!!Jiulize kwanini awamu zingine za kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuwa wanasisitiza Kiswahili?Awaamu hii kuna shida gani?
Sio wanakioverate inategemea na wewe unafanya nini, kama muuza samaki Kinge hakina umuhimu kwako, ila kuna watu wanatumia kingereza kupata connection za kibiashara n.k, hata wachina wanajifunza Kinge kwa sababu za Kibiashara kwa sababu mataifa mengi yanaunganishwa na Kinge.kiingereza ni lugha tu. watu wana ki overate
Yep.Lambert were chemistry books?
Rais Magufuli" that is the true"
Hapana! Siku ukichukua akili zako ulizokabidhi kwa akina Mbowe, mbona utaelewa tu!Hivi ni mimi kuwa negative na Magu au nini. Mbona naona chenga tu. Raper at work kumuelewa ni shida
Pale Nkrumah siyo pamchezo, kwa ulinzi uliokuwepo pale sitashangaa kusikia propesa aliyepiga bao hata MojaWameniangusha mno Mkuu yaani ni bora hata tu wasingekubali kwenda hapo Kongamanoni Nkurumah kwani ' wamejichoresha ' na ' wamedharaulika ' kwa kiasi fulani vile vile. Hebu angalia ' Confidence ' ya Kutukuka kabisa ya Profesa Mkandala hadi ' Presentation ' yake inavutia na inakufanya usichoke na usiboreke kumsikiliza. Huyu kweli ni ' Academician ' kabisa na alifanya vyema ' research ' yake pamoja na ' preparation ' ya anachokifanya leo tofauti na hao wenzie Wawili ambao Kipaumbele chao kilikuwa ni Kusifia na Kujikomba tu ama kuendelea kuaminiwa au kutafuta Cheo / Fursa / Madaraka.