Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
Sio kwamba wewe ndio umekabidhi ajili kwa slow slowHapana! Siku ukichukua akili zako ulizokabidhi kwa akina Mbowe, mbona utaelewa tu!
Sio kwamba wewe ndio umekabidhi ajili kwa slow slowHapana! Siku ukichukua akili zako ulizokabidhi kwa akina Mbowe, mbona utaelewa tu!
Kumbe anasoma JF maana ni JF tu watu wanaweza andika kuwa haju Ki- Malkia! Loh! yupo humu ni mwenzetu
Aisee.. Kwa hiyo mm nimekwambia simwelewi Rais?Sio kwamba wewe ndio umekabidhi ajili kwa slow slow
MNA Kazi kwani kingereza ndio nnHicho cha kuunga unga walikuinea huruma tu maana wangekuambia ukweli ungegeuka jiwe na ukichaa ungepanda halafu ukaanza kuwapiga shangazi zao pale mto ngono ambapo hupapendi.
President msumbufu kinoma......art yake kitaalam inaitwa"tragedy commedy" humorous, fun & seriousness....... Anakwambia kama hajui kizungu thesiss yake alifaulu vip?Hahahahaha halafu anajitapa anajua kiingereza
Mjinga ni wewe unayetetea Kiswahili ambacho leo miaka zaidi ya 50 unakitumia na hakuna maendeleo yoyote. Kama wewe una akili niambie kwaini Uchumi wa nchi hii uko hoi bin taabani pamoja na kutumia Kisahili tangu upate Uhuru?Ndio maana nakwambia wewe ni mjinga!
Hivi utajitambua lini kama wewe ni mtanzania na kiswahili ni utambukisho wako kuliko hao wazungu unaowaabudu?
President msumbufu kinoma......art yake kitaalam inaitwa"tragedy commedy" humorous, fun & seriousness....... Anakwambia kama hajui kizungu thesiss yake alifaulu vip?
anasoma humu na swali lako ammeliona!Naona kanijibu kiaina....maana niliuliza kama keshawahi enda Marekani...
Aisee... Ujinga wako ni wa kiwango cha lamiMjinga ni wewe unayetetea Kiswahili ambacho leo miaka zaidi ya 50 unakitumia na hakuna maendeleo yoyote. Kama wewe una akili niambie kwaini Uchumi wa nchi hii uko hoi bin taabani pamoja na kutumia Kisahili tangu upate Uhuru?
Ulimi hauna mfupa; ooops!Hahahahaha halafu anajitapa anajua kiingereza
Mwee! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hicho cha kuunga unga walikuinea huruma tu maana wangekuambia ukweli ungegeuka jiwe na ukichaa ungepanda halafu ukaanza kuwapiga shangazi zao pale mto ngono ambapo hupapendi.