Magufuli anajua zaidi yako wewe sabb kipindi cha vita alikuwepoHalijui hata wakati wa vita ya KAGERA Ghaddafi alimpa MAKOMBORA YA KIVITA na ASKARI IDDI AMINI na akashiriana KUUA WADANGANYIKA.
Ndio matatizo ya kuokota MAZWAZWA SHIMONI na kuyakabidhi mamlaka
Na kingine magufuli kakaa tripoli sana na hata mlivyokuwa mnaenda kwa ghadafi kuomba misaada alikuwa akienda