Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Mvunja katiba hawezi kutaka katiba mpya.
Magufull aache uchizi. Watanzania tunataka KATIBA MPYA SASA!
Mvunja katiba hawezi kutaka katiba mpya.
Sasa kama ni mazlendo, si angelipa suala la katiba kipaumbele ili haya yote 'mazuri' anayofanya yaendelee kuwepo hata baada ya miaka mia! Kaswali kangu kadogo kwa waliofuatilia tamasha hili (sio mujarabu kuliita kongamano) je suala la 'wasiojulikana' mheshimiwa ameligusia?Mvunja katiba hawezi kutaka katiba mpya.
Kama wanaompiga jpm ndio wale walikua wanadeki barabara basi acha wanaouunga mkono wawe hivoWanaomkubali magu ni watu wenye low IQ!
Mzee wa:-He he he he
Magufuli bana...
Sometimes ukimsikiliza ni burudani tosha.
JPM tangu mwanzo hakuwai kumumunya maneno alishasema katiba mpya sio kipaumbele chake. Tusitokwe na povu kwajambo ambalo alishalitolea ufafanuzi .Wanaomkubali magu ni watu wenye low IQ!
Alichukulia hapo hapo mlimaniSi naskia degree yake amechukulia pale Open university
Na yuko huko mtama sio?mwenzake yuko ikuluBenard Membe anajua sana kiingereza full stop!
Sasa kama ni mazlendo, si angelipa suala la katiba kipaumbele ili haya yote 'mazuri' anayofanya yaendelee kuwepo hata baada ya miaka mia! Kaswali kangu kadogo kwa waliofuatilia tamasha hili (sio mujarabu kuliita kongamano) je suala la 'wasiojulikana' mheshimiwa ameligusia?
Ninacho furahia ni ujumbe umemfikia .kumbe basi tusichoke kuandika malalamiko yetu kwa maana ataa baada ya muda mrefu ujumbe unafika na kutolewa jibu [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda
Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Yani you have taken the words right out of my mouth. Hatuna maprofesa pale. Walau kiduuuchu alijaribu yule padreHili kongamano ambalo linaonekana lilikuwa well preplanned specifically to sing praises to the incumbent, kwa mara nyigine tena limewa-expose ma professor wa kitanzania na kuawaonyesha ktk rangi yao kamili ambayo ni unafiki.
Huwezi kuongelea tu Achievements bila pia kuongelea Shortcomings, hiyo ni kuonyesha Sycophancy of the highest magnitude.
Kunyamazia matukio ya wazi ya ukiukwaji wa haki za binadamu pamoja na kukosekana kwa uhuru wa kiraia (Civil Liberties) pamoja na matukio ya (Extra Judicial Killings and the Disappearance of Persons) inalifanya kongamano hilo lionekane tu kama A Mere Talk Show. Mimi sijaona kitu hapo.