Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli" nimeteua sana vijana, nimeteua sana wakina mama na siku hizi kila ukiteua wamama ni hawala yako, " wahudhuriaji kicheko
 
Hii ya kuzalisha Umeme ili kumpunguzia mwananchi gharama ni uongo sana tena sitaki kusikia. Gas walisema hivyo hivyo.
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Ahaah he made my day
 
This is just a bunch of hooligans...!!
Nchi hii imejaa Majitu yanayojiita Ma-Profedha(Professor) kumbe ni Waganga Njaa tu na hakuna lolote!!Hvi unategemea nini kwa Maprofedha wenye akili za kina::
  1. Profedha Kabudi Pumalanga Kabundi? Kazi ni mbwembwe na kuisfia Jiwe kama ndo mungu wake.
  2. Profedha Kitila Mkumbo? Mpinzani kutoka CHADEMA na ACT-Wazalendo leo kahongwa na CCM kwa Ukatibu Mkuu-nonsense.
  3. Profedha Mkandala? Kazi kusifia Jiwe tu hata kwa mambo ya hovyo. Ni aibu kwa Wasomi wa kiwango hicho kushikiwa akili na Daktari Jiwe tena kwa Udaktari wa kughushi. Pro-fedha mzima anatetea Kiswahili kwa vile Rais Magufuli hajui Kiingereza!!Hivi Kiswahili kina tija gani kwa nchi zaidi ya miaka 50 tunaongea Kiswahili mmepata nini? Kenya wenzetu wanatumia Kiingereza kuanzia Kindergatten mpaka University....1 Kshs= 22 Tshs. Kiswahili na Kiingereza wapi na wapi?
  4. Baba wa Taifa hakuwa mjinga aliposema WATANZANIA LAZIMA WAJIFUNZE KIINGEREZA MAANA NI KISWAHILI CHA DUNIA..!!Hivi leo hapa Tanzania tuna mtu ana busara, hekima na kipawa cha uongozi zaidi ya Mwalimu? Jibu ni NO....!Wapuuzi wa CM wanadiriki hata kusema Magufuli ati kafanya mambo makubwa kuliko hata Baba wa Taifa....shame on you CCM hooligans. Mtawapotosha wale ambao hawakumwona na kumsikia Mwalimu.
  5. Loading.....
No 3.wacha colonial mentality.ficha uchi wako.unadharau kiswahili na kutukuza kiingereza?maendeleo hayaletwi kwa kuzungumza kiiingereza.
 
Hivi ni mimi kuwa negative na Magu au nini. Mbona naona chenga tu. Raper at work kumuelewa ni shida
 
Wewe ni mjinga!
Sasa utakuwa unakula hicho kingereza? Hizo nchi nyingine zilizoendelea zinatumia kingereza?

Siku ukifa utaenda kumwuliza Baba wa Taifa kwanini alisitiza Watanzania wajifunze Kiingereza. Tatizo lako na wajinga wenzake mmemambkizwa kaugonjwa kanaitwa Magufulism.....!!!Jiulize kwanini awamu zingine za kina Mwinyi, Mkapa na Kikwete hawakuwa wanasisitiza Kiswahili?Awaamu hii kuna shida gani?
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Tupia zile clips anaongea broken English anadhani tunamtuhumu bila ushaidi?
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Kama aliandikiwa je?
 
Back
Top Bottom