Who wamekusaidia nini mpaka sasa?Nina wasiwasi na ufahamu wako,kama huijui WHO basi pole yako.
Nimeshangaa sana Rais kuongea hicho kitu labda watoto wake wakubwa sana hakukuwa na chanjo hizo wakati tena huko Chato ndio kabisa.Chanjo ya kifua kikuu ipo, inaitwa BCG
Hovyo hovyo ya jiwe ni hatari.Mtatishwa sana ndugu zangu Watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya Watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara..
Hamna kitu!! Mshikaji kachoka
Ndiyo baba kaza buti twenda tunakunywa mtori na nyama tutazikuta chini 🤣 🤣 🤣🤣Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Waziri wa maji, Jumaa Aweso na Marry Masanja Naibu waziri wa Utalii. Pia yupo Mwita Waitara naibu wa Mazingira...
Kwa ufupi ktk kipindi kigumu wananchi wanatarajia kumsikia kiongozi wao anaongea maneno ya matumaini lakini leo tumesikia pumba zaidi zikizungumzwa! Ndugu zangu baada ya hotuba hiyo ya hovyo nawaomba mchukue hatua za kujilinda wenyewe. Hakuna msaada toka ktk kodi zetu.Magu ni denialist, kama hataki chanjo sisi tunaitaka. Sisi wengine hatutaki kufa..
Hakuna mtu anayetaka lockdown lakini serikali isimamie mapambano haya kwa mfano,Kukiri kuwa ugonjwa upo,kurudisha tahadhari kama za kuvaa barakoa na kunawa na maji tiririka na sabuni, kupunguza misongamano isyo ya lazima. Wengi tumelegeza mapmbano haya.Mtatishwa sana ndugu zangu Watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya Watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara..
Wewe ume-summarize kila kitu kuhusu huyu kichaa. Kwangu mimi hata kichwani hazipo vizuri.PhD holder anaongea story za walevi wa mataputapu wakiwa kijiweni.
Sisi Tanzania tupo ngangari tumejidhatiti vya kutosha.
Hatukuwahi kukaza kwenye mapambano ya corona,hata sasa mtu atakubali kabisa corona ipo ila hawezi kuwa serious kwenye kuchukua tahadhari. Tizama hiyo picha mwaka jana wakati serikali imekataza kusimamisha abiria kwenye na hicho ndio walikuwa wakikifanya Wabongo.Hakuna mtu anayetaka lockdown lakini serikali isimamie mapambano haya kwa mfano,Kukiri kuwa ugonjwa upo,kurudisha tahadhari kama za kuvaa barakoa na kunawa na maji tiririka na sabuni,kupunguza misongamano isyo ya lazima.Wengi tumelegeza mapmbano haya.
Nmesikitika sana ,nmesikitika sana nikiwa kama Mtaalam wa AfyaSasa wizara ya afya ikifuata kanuni na taratibu zake maana yake chanjo haiepukiki-nashangaa Rais anasema wizara ya afya iwe macho kwani hii idara siku hizi inafanyia kazi matamko au taaluma?
Maneno ya matumaini ulitaka awaambieje? Kwamba mnaletewa chanjo?Kwa ufupi ktk kipindi kigumu wananchi wanatarajia kumsikia kiongozi wao anaongea maneno ya matumaini lakini leo tumesikia pumba zaidi zikizungumzwa! Ndugu zangu baada ya hotuba hiyo ya hovyo nawaomba mchukue hatua za kujilinda wenyewe. Hakuna msaada toka ktk kodi zetu.
Mungu yupi huyo anayependa Tanzania tu akiacha nchi nyingine zote za dunia zikiteseka na hili gonjwa ikiwa ni pamoja na Italia kwa Baba Mtakatifu wa Rais wetu mpendwa? Huyo ni mungu wa Chato!Corona dawa yake ni Mungu!!
Waanze na zile za wapeazo watoto wadogo clinicSasa wizara ya afya ikifuata kanuni na taratibu zake maana yake chanjo haiepukiki-nashangaa Rais anasema wizara ya afya iwe macho kwani hii idara siku hizi inafanyia kazi matamko au taaluma?
Ulishawahi kujiuliza pia inapotokea ajali, Gari laweza kupinduka likauwa karibu Abilia wote, lakini akasalimika mtu mmoja Tu!! Je hapo Napo itakuwa Mungu aliwachukia zaidi hao waliokufa na kumpendelea aliyesalimika!?Mungu yupi huyo anayependa Tanzania tu akiacha nchi nyingine zote za dunia zikiteseka na hili gonjwa ikiwa ni pamoja na Italia kwa Baba Mtakatifu wa Rais wetu mpendwa? Huyo ni mungu wa Chato!
Huyu hajasoma hata Shule ya Msingi Chato maana toka aingie madarakani hajajitokeza hata schoolmate mmoja wala mwanafunzi aliyemfundisha akiwa mwalimu. Nyerere alipoingia tu madarakani hata Mprof waliofundisha Chuo Kikuu Ulaya walijitokeza kumsifu kuwa alikuwa mwanafunzi mahili!Mimi ni CCM damu damu lakini lazima niseme ukweli kuwa huyu jamaa ni kichaa. Haiwezekani rais wa nchi anaongea mambo ya kipuuzi na mna hii tena ni Dr. ambaye nchi imetumia hela kumsomesha.
Si ndio nyie mnaowaita watu wanatafuta uteuzi pindi wanapoamua kumsifia Rais??Huyu hajasoma hata Shule ya Msingi maana toka aingie madarakani hajajitokeza hata schoolmate mmoja wala mwanafunzi aliyemfundisha akiwa mwalimu. Nyerere alipoingia tu madarakani hata Mprof waliofundisha Chuo Kikuu Ulaya walijitokeza kumsifu kuwa alikuwa mwanafunzi mahili!