Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Mtatishwa sana ndugu zangu Watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya Watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara..
Hovyo hovyo ya jiwe ni hatari.
 
Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Waziri wa maji, Jumaa Aweso na Marry Masanja Naibu waziri wa Utalii. Pia yupo Mwita Waitara naibu wa Mazingira...
Ndiyo baba kaza buti twenda tunakunywa mtori na nyama tutazikuta chini 🤣 🤣 🤣🤣
 
Magu ni denialist, kama hataki chanjo sisi tunaitaka. Sisi wengine hatutaki kufa..
Kwa ufupi ktk kipindi kigumu wananchi wanatarajia kumsikia kiongozi wao anaongea maneno ya matumaini lakini leo tumesikia pumba zaidi zikizungumzwa! Ndugu zangu baada ya hotuba hiyo ya hovyo nawaomba mchukue hatua za kujilinda wenyewe. Hakuna msaada toka ktk kodi zetu.
 
Mtatishwa sana ndugu zangu Watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya Watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara..
Hakuna mtu anayetaka lockdown lakini serikali isimamie mapambano haya kwa mfano,Kukiri kuwa ugonjwa upo,kurudisha tahadhari kama za kuvaa barakoa na kunawa na maji tiririka na sabuni, kupunguza misongamano isyo ya lazima. Wengi tumelegeza mapmbano haya.
 
Sasa wizara ya afya ikifuata kanuni na taratibu zake maana yake chanjo haiepukiki-nashangaa Rais anasema wizara ya afya iwe macho kwani hii idara siku hizi inafanyia kazi matamko au taaluma?
 
Hakuna mtu anayetaka lockdown lakini serikali isimamie mapambano haya kwa mfano,Kukiri kuwa ugonjwa upo,kurudisha tahadhari kama za kuvaa barakoa na kunawa na maji tiririka na sabuni,kupunguza misongamano isyo ya lazima.Wengi tumelegeza mapmbano haya.
Hatukuwahi kukaza kwenye mapambano ya corona,hata sasa mtu atakubali kabisa corona ipo ila hawezi kuwa serious kwenye kuchukua tahadhari. Tizama hiyo picha mwaka jana wakati serikali imekataza kusimamisha abiria kwenye na hicho ndio walikuwa wakikifanya Wabongo.

download.jpg
 
Sasa wizara ya afya ikifuata kanuni na taratibu zake maana yake chanjo haiepukiki-nashangaa Rais anasema wizara ya afya iwe macho kwani hii idara siku hizi inafanyia kazi matamko au taaluma?
Nmesikitika sana ,nmesikitika sana nikiwa kama Mtaalam wa Afya

Kauli hii ya Kubeza Chanjo

Maana yake anawaaambia wamama sasa wajawazito na watoto, waanze kuzikimbia Chanjo.

Ivi nin hii???
 
Kwa ufupi ktk kipindi kigumu wananchi wanatarajia kumsikia kiongozi wao anaongea maneno ya matumaini lakini leo tumesikia pumba zaidi zikizungumzwa! Ndugu zangu baada ya hotuba hiyo ya hovyo nawaomba mchukue hatua za kujilinda wenyewe. Hakuna msaada toka ktk kodi zetu.
Maneno ya matumaini ulitaka awaambieje? Kwamba mnaletewa chanjo?
 
Sasa wizara ya afya ikifuata kanuni na taratibu zake maana yake chanjo haiepukiki-nashangaa Rais anasema wizara ya afya iwe macho kwani hii idara siku hizi inafanyia kazi matamko au taaluma?
Waanze na zile za wapeazo watoto wadogo clinic
 
Mungu yupi huyo anayependa Tanzania tu akiacha nchi nyingine zote za dunia zikiteseka na hili gonjwa ikiwa ni pamoja na Italia kwa Baba Mtakatifu wa Rais wetu mpendwa? Huyo ni mungu wa Chato!
Ulishawahi kujiuliza pia inapotokea ajali, Gari laweza kupinduka likauwa karibu Abilia wote, lakini akasalimika mtu mmoja Tu!! Je hapo Napo itakuwa Mungu aliwachukia zaidi hao waliokufa na kumpendelea aliyesalimika!?

Dunia na watu wote ni shamba la Mungu, na anapoamua kuvuna shamba lake, ni yeye Huamua aanzie wapi na amalizie wapi, avune wapi na aache wapi!!

Mtegemee Mungu wewe!
 
Mimi ni CCM damu damu lakini lazima niseme ukweli kuwa huyu jamaa ni kichaa. Haiwezekani rais wa nchi anaongea mambo ya kipuuzi na mna hii tena ni Dr. ambaye nchi imetumia hela kumsomesha.
Huyu hajasoma hata Shule ya Msingi Chato maana toka aingie madarakani hajajitokeza hata schoolmate mmoja wala mwanafunzi aliyemfundisha akiwa mwalimu. Nyerere alipoingia tu madarakani hata Mprof waliofundisha Chuo Kikuu Ulaya walijitokeza kumsifu kuwa alikuwa mwanafunzi mahili!
 
Huyu hajasoma hata Shule ya Msingi maana toka aingie madarakani hajajitokeza hata schoolmate mmoja wala mwanafunzi aliyemfundisha akiwa mwalimu. Nyerere alipoingia tu madarakani hata Mprof waliofundisha Chuo Kikuu Ulaya walijitokeza kumsifu kuwa alikuwa mwanafunzi mahili!
Si ndio nyie mnaowaita watu wanatafuta uteuzi pindi wanapoamua kumsifia Rais??

Pumbavu.. na hata hao unasema wakijitokeza kumsifia ualimu wake, utaponda tu! Unalamaana basi
 
Back
Top Bottom