Machanjochanjo hayafai....Nmesikitika sana ,nmesikitika sana nikiwa kama Mtaalam wa Afya
Kauli hii ya Kubeza Chanjo
Maana yake anawaaambia wamama sasa wajawazito na watoto, waanze kuzikimbia Chanjo.
Ivi nin hii???
hapo kwenye machanjomachanjo (tahadhari)Mtatishwa sana ndugu zangu Watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya Watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara...
Na miez Tisa ikishafika mama atazaa tu no way..hata ikizidi hapo siku chache kidogo lakin haiwez kufika miezi mingine Tisa...Mama Atazaa tu. Wee subiri.Mimba, ikikuwa lazima itaonekana time will tell.
Naona waraka wa TEC umefanya mzee afunguke kidogo. Kwa ufupi waraka wa TEC na mh Rais wote wamekiri lipo tatizo hivyo dawa ni tusisitizane kujikinga badala ya wengine kudanganya tatizo halipo.
Mh Rais kasema tuendelee na nyungu na leo mimi na familia yangu tunaanza nyungu [emoji41]
Bakwata huwaamini?Leo ndo nmegundua kanisa katoliki lina nguvu kubwa..baada ya waraka wa corona kutoka na Askofu Ruachi kuongea watu kujilinda na kujikinga na corona leo mzee kaja kuongea
Corona ipo ni kidogo
Ooh haipo kabisa
Ohh watanzania wametuletea yaani anajiuma uma tu.
Hakuna alichochanganya, ameongea kama mtaalamu siyo kisiasa...Magufuli anawachanganya wananchi.
..nadhani tatizo ni kwamba " ameu-personalize " huu ugonjwa.
..anakosea kuchanganya masuala ya covid-19 na vita yake dhidi ya " mabeberu. "
Nmesikitika sana ,nmesikitika sana nikiwa kama Mtaalam wa Afya
Kauli hii ya Kubeza Chanjo
Maana yake anawaaambia wamama sasa wajawazito na watoto, waanze kuzikimbia Chanjo.
Ivi nin hii???
Hakuna alichochanganya, ameongea kama mtaalamu siyo kisiasa.
Ya uongo ni yepi?..Jpm akiongea jambo moja la kweli, anachanganya na matatu ya uongo.
Bakwata wao nawaamini kama kuna mzee Spunda Rungwe, ila Kwenye issue sensitivity mhhh.Bakwata huwaamini?
JPM amekuwa madarakani miaka 5+, ktk kipindi cha utawala wake Tz tungeweza kutengeneza chanjo za magonjwa mbalimbali ambazo ni salama na tunaziamini.Safi sana Magu kawapiga spana wazungu, HIV miaka 40 hakuna chanjo, kansa miaka 100 hakuna chanjo, malaria miaka 50 no chanjo, korona miezi 6 chanjo tano wazungu wamezoea kuwafanya wengine mazwazwa...hakuna chanjo hapo ni biashara tu inafanyika..
Ya uongo ni yepi?