Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Hizo ndio hatua za kuzuia corona?

Mbona kote hadi huko kwa marafiki zako wazungu zimefeli?
 
Mara ipo mara haipo sasa tushike lipi? Hapa naona tu apply busara za JK "za kuambiwa changanya na za kwako"
 
Eeenh,

Hata kama ni Ph.D. ya Hisabati, mhusika angekuwa na uelewa wa kutosha kabisa kutoyasema haya!
 
Simon wa klene
 
Hata Tanzania miaka ya 1990 walisema wanaleta chanjo ya pepopunda mashuleni mabinti wengi walichanjwa
 
Wewe ndio una mavi,

Sasa kama wao na sisi tunatofautiana kwanini mnakomaa tuige mashart yao?
 
Ahimidiwe Mungu Wa Magufuli,tumbo la mama yake li kheri,Mungu amzidishie miaka mingi yenye kheri .

Wanaotaka ishu za lockdown waanze kuzilock familia zao kwanza harafu watuletee mrejesho.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mbona mnajibu msichoulizwa, ya lockdown yameingiaje hapa? Ishu mezani ni jee mdudu yupo au hayupo, na kama yupo Serikali itoe mwongozo wa mbinu za kujikinga kama ilivyofanya awali.Mimi nashauri tujikinge na tupige nyungu kwa kwenda mbele, pamoja tutashinda, tuache kunyoosheana vidole na kuishi kwa dhana.
 
Sasa si mkatae? Huu unafiki ni kwa faida ya nani? Mnakubali A alafu mnakataa B kutoka kwa beberu huyohuyo!!!

Kuna wkt huwa najiuliza reasoning ya Rais wetu ni level ya PhD kweli? Pongezi kwa TEC
Umeulizwa kwani hayo ma ARV nani kakwambia nimazuri?? Waulize watumiajii watakwambia. Achakushadadia kwa watu wasio na imanii
 
Kuhusu corona Mheshimiwa yupo sahihi sanaaaaa.May God bless him more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…