ablekats619
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 129
- 202
Wewe kaa lockdownpeople are dying!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kaa lockdownpeople are dying!
Hizo ndio hatua za kuzuia corona?Hahahaaaa
Nyie ndio mnachekesha....
Rais wako yeye ndio kapaniki...anajibu vitu hajaulizwa as if aliulizwa kuhusu neno lockdown na Chanjo
Chanjo is even not here
Lockdown is even not an issue in Africa labda SA tu
Tunachotaka ni yeye kusisitiza distancing,ku-acknowledge tuna issue,masks ,kunawa mikono,etc...na directives mbali mbali maeneo ya kazi,mashule,etc
Kama dikteta lenzake la Rwanda linavyofanya..directives
Lenyewe linasema kula malimao...
Mara ipo mara haipo sasa tushike lipi? Hapa naona tu apply busara za JK "za kuambiwa changanya na za kwako"Hahahaaaa
Nyie ndio mnachekesha....
Rais wako yeye ndio kapaniki...anajibu vitu hajaulizwa as if aliulizwa kuhusu neno lockdown na Chanjo
Chanjo is even not here
Lockdown is even not an issue in Africa labda SA tu
Tunachotaka ni yeye kusisitiza distancing,ku-acknowledge tuna issue,masks ,kunawa mikono,etc...na directives mbali mbali maeneo ya kazi,mashule,etc
Kama dikteta lenzake la Rwanda linavyofanya..directives
Lenyewe linasema kula malimao...
Eeenh,Mtatishwa sana ndugu zangu watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara.
Chanjo hazifai, kama wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya Ukimwi ingekuwa imeshaletwa, hata chanjo ya kifua kikuu, kifua kingekuwa kimeshaondoka, hata chanjo ya maleria ingekuwa imeshapatikana, hata chanjo ya kansa ingekuwa imeshapatikana.
Simon wa kleneKuna story moja niliwahi isikia eti Yule Simon aliyebebeshwa Msalaba wa Yesu wakati ule, kuna muda alipigwa na wale majamaa. Inavyosemekana alikimbilia Tanganyika na alifia huku huku.
So Nchi yetu imebarikiwa, pengine ndiyo maana Corona imeamua kutokutudhuru sana [emoji119][emoji13][emoji13][emoji13]
Waulize watumiajiMazuri ni yapiiii?
Tutajie
Malimao?
Aisee mna matatizo ya akili kabisa
Lodilofa alituweza kweli,aendelee kuhukumiwa.Hapa tulipigwa
Field gani unafanya hapo ufipani inje nakushinda mitandaoni kupika propaganda??Kama unakula kwa shemejio unadhan itajua kinachoendelea field????
Hata Tanzania miaka ya 1990 walisema wanaleta chanjo ya pepopunda mashuleni mabinti wengi walichanjwaIpo nchi fulani watoto wake walichanjwa wa kike umri wa miaka 14, wanaambiwa ni kwa ajili ya kuzuia kansa ya kizazi, imekuja kugundulika ile chanjo ni kwa ajili ya kuwazuia wasizae, kwa hiyo niiombe sana wizara ya afya, sio kila chanjo ni ya maana kwa Taifa letu.
yeye amejilockdown chato anawadanganya nyinyiWewe kaa lockdown
Tatizo exposureBe honest bro!! Despite their best efforts, they are still infected! The best way to control Covd 19, has not existed since it entered the world
Wewe ndio una mavi,Wanafanya na zimewasaidia sana....na wanaendelea kufanya
Wao miili yao haina ustahimilivu kama yetu ndio maana unaona death toll yao ni kubwa
Na pia virus variant yao ni tofauti na kirusi cha kwetu...mashambulizi ni tofauti
Kuchukulia kirusi cha ulaya ni sawa na cha hapa unafeli
Na kufananisha wazungu na weusi wa Africa ni sawa unazidi kufeli zaidi
Sasa njia zenu mnazowaza za walao kupunguza maambukizi ni "kula malimao"?
Mna mavi nyie mjue
Mbona mnajibu msichoulizwa, ya lockdown yameingiaje hapa? Ishu mezani ni jee mdudu yupo au hayupo, na kama yupo Serikali itoe mwongozo wa mbinu za kujikinga kama ilivyofanya awali.Mimi nashauri tujikinge na tupige nyungu kwa kwenda mbele, pamoja tutashinda, tuache kunyoosheana vidole na kuishi kwa dhana.Ahimidiwe Mungu Wa Magufuli,tumbo la mama yake li kheri,Mungu amzidishie miaka mingi yenye kheri .
Wanaotaka ishu za lockdown waanze kuzilock familia zao kwanza harafu watuletee mrejesho.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Umeulizwa kwani hayo ma ARV nani kakwambia nimazuri?? Waulize watumiajii watakwambia. Achakushadadia kwa watu wasio na imaniiSasa si mkatae? Huu unafiki ni kwa faida ya nani? Mnakubali A alafu mnakataa B kutoka kwa beberu huyohuyo!!!
Kuna wkt huwa najiuliza reasoning ya Rais wetu ni level ya PhD kweli? Pongezi kwa TEC
"Chato ndugu zangu ni nchi yetu sote "
Kuhusu corona Mheshimiwa yupo sahihi sanaaaaa.May God bless him moreKwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Waziri wa maji, Jumaa Aweso na Marry Masanja Naibu waziri wa Utalii. Pia yupo Mwita Waitara naibu wa Mazingira.
Pia upo uongozi wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii, wapo wakurugenzi, wakuu wa taasisi ikiwemo Tawa, Tafori na DTI. Upo pia ungozi wa mkoa wa Geita ukiongozwa na mkuu wa mkoa, makatibu tawala na manaibu wao, wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, kamati ya usalama wilaya ya Chato, viongozi wa chama cha Mapinduzi Geita, viongozi wa dini mkoa na wilaya pia wabunge wa mkoa wa Geita.
=========
Medard Kalemani: Mheshimiwa Rais wetu, sisi wananzengo na wananchi wa Chato kwa siku ya Leo ni siku ya furaha kubwa na kwetu sisi ni siku ya kihistoria, nichukue nafasi hii kwa niaba ya wananzengo na wananchi wa Jimbo letu na wilaya yetu ya Chato, kwanza kabisa kuwakaribisheni Chato.
Chato ndugu zangu ni nchi yetu sote, naomba wananchi wa Chato tuwapigie makofi wageni wote waliofika hapa.
Nimesikia huu ni msitu wa pili kwa ukubwa nchini kwetu, hongereni sana. Pia msitu ni wa kwanza kwa aina ya misitu mchanganyiko, misitu ya kupanda na misitu asili. Eneo hili limetoa ajira na watumishi na wafanyakazi ni wanaozunguka maeneo haya.
Mheshimiwa Rais na ndugu wananchi, kwa heshma ya pekee napenda nitoe shukrani ya moyoni, hawa wananchi walioko hapa kama kawaida ya misitu mmetupatia chakula, nawaomba wananchi tushangilie sana. Kitendo cha kutupatia ng'ombe wanne wakubwa madume yaliyonona kwa ajili ya wananchi hawa kula walau leo mchana na kilo 1,500 kwa ajili ya chakula cha mchana tunawashukuruni sana, wananchi tupige makofi na vigerere kwa ushirikiano huu mzuri. Mheshimiwa Rais na Waziri baada ya kusema hayo, niwashukuruni sana kwa kunisikiliza.
10:20 Asubuhi: Rais John Magufuli amewasili eneo la tukio na kupokewa na viongozi kadhaa kisha kuimbwa wimbo wa Taifa na wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Baada yahapo zimefata Dua na Sala kutoka kwa viongozi wa dini.
RAIS MAGUFULI: Nimeanzisha mashamba mengine manne ya misitu. Nina historia na eneo hili, wakati nikiwa mbunge ukifanya mkutano tu kwenye maeneo kutoka hapa Buseresere mpaka Bwanga.
Sikutegemea kama siku moja tutakuta miti mizuri shamba hili, mmefanya kazi kubwa sana, hongereni sana. Mimi nafikiri kwa kazi kubwa iliyofanywa na wizara ya maliasili na utalii lakini kwa kazi kubwa iliyofanywa na kamishna anaehusika na hifadhi ya misitu lakini kwa kumbukumbu kubwa ya vijana hawa maaskari wameendelea kulinda rasilimali hii
Katika kipindi hiki ambako kuna magonjwa gonjwa yanayojitokeza yasiyojulikana kama Korona, nchi nyingi wananchi wake watakuwa wamejifungia ndani, sisi watanzania hatujajifungia ndani na hatutegemei kujifungia ndani na wala sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani kwa sababu Mungu wetu yuko hai na ataendelea kutulinda watanzania lakini pia tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya ikiwa ni pamoja na kujifukizia. Unajifukizia huku unamuomba Mungu, unaswali huku unapiga zoezi la kufanya kazi la kulima mahindi, viazi ili ule vizuri ushibe Corona ishindwe kuingia kwenye mwili wako.
Mtatishwa sana ndugu zangu watanzania lakini simameni imara, ninajua wapo baadhi ya watanzania wameondoka ndani ya nchi na kukimbilia maeneo mengine na kwenda kuchanjwa na walipochanjwa huko, wamekuja huku wametuletea Corona ambayo ni ya ajabu ajabu, simameni imara.
Chanjo hazifai, kama wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya Ukimwi ingekuwa imeshaletwa, hata chanjo ya kifua kikuu, kifua kingekuwa kimeshaondoka, hata chanjo ya maleria ingekuwa imeshapatikana, hata chanjo ya kansa ingekuwa imeshapatikana.
Ni lazma watanzania tuwe waangalifu kwa mambo ya kuletewa letewa, msije mkafikiria mnapendwa sana. Taifa hili ni tajiri, Afrika ni tajiri, kila mmoja anaitamani, tuwe waangalifu na niiombe wizara ya afya isiwe inakimbilia mambo ya machanjo chanjo bila yenyewe kujiridhisha.
Ipo nchi fulani watoto wake walichanjwa wa kike umri wa miaka 14, wanaambiwa ni kwa ajili ya kuzuia kansa ya kizazi, imekuja kugundulika ile chanjo ni kwa ajili ya kuwazuia wasizae, kwa hiyo niiombe sana wizara ya afya, sio kila chanjo ni ya maana kwa Taifa letu.
Sio kila chanjo ina faida kwetu, ni lazima watanzania tuwe macho, ni lazima watanzania tuwe waangalifu, tutafanyiziwa majaribio ya ajabu ambayo yataleta madhara makubwa, ninaomba tuendelee kusimama na kumuomba Mungu wetu, tuendelee kumtanguliza Mungu wetu huku tukichukua tahadhari za kiafya kadri tutakavyokuwa tunaambiwa na wataalam wetu lakini tujihadhari sana.
Tumeweza kukaa zaidi ya mwaka mzima na kitu, Tanzania tukiwa hatuna Corona hata hapa hakuna alievaa barakoa, Mungu wetu yuko mbele ya shetani.
Kwa hiyo niwaombe ndugu zangu watanzania na hasa wizara wa afya ambae ni kiongozi wetu ijitahidi sana kuangalia afya za watanzania bila kuingia kwenye papara za kuletewa kila jaribio linalofanyika linaletwa hapa, hii ni tahadhari na mimi naamini tutafanikiwa.