Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

Unaijiabisha
 
Halafu serikali ina chaguliwa kutatua shida za watu, na shida zinyewe ndio hizi moja wapo
 
Tumekariri Hapa Kazi tu!!!! Kweli Rais tunae wa wanyonge,kujichimbia kote huko katoka na kauli ya kukatisha Tamaa........
 
Mungu mwenye nguvu amzidishie ulinzi mheshimiwa rais Magufuli, amvike taji la nguvu na uweza wa hali ya juu, ili aweze kuleta mabadiliko chanya makubwa sana ya kiuchumi na kimfumo na hatimaye watanzania waweze kupata huduma za jamii zilizo bora kabisa kuwahi kutokea.
 
Leo Sumbawanga nako wamepata majanga ya mvua kubwa ya upepo na barafu. Kuna nyumba zimebomoka na kuezuliwa paa, mifugo imekufa. OMBI langu kwao wakae tuu kimya maaana wasiombee kutana na tetemeko la maneno.
Kule mafund wengi usjekuta kimetengenzwa kile kutafuta kick
 
Unaijiabisha
Wewe unaongea tu hayajakukuta, nikuulize kwa nn kwenye msiba watu wanachangishwa rambi rambi?
Hawa ndugu zetu hawa kujipanga kwa hili tukio kabisa kwahiyo hatuwezi sema wafanye kazi wakati psychologically wameathirika sana, faraja ni muhimu sana ktk matatizo
 

Hata kwa mfano akiwa mgonjwa tukio likitokea lazima atokee, sasa Waziri mkuu na makamu wa nini?

Mimi ningekuwa mshauri wake, ningemshauri hivyo hivyo , fire kwa fire.

Ningeelewa kama wapinzani wangewatembelea na wakawasaidia bila ku drag in rais. Kama una nia njema ukifanya jambo wananchi watakuelewa tu, kwanini domo kubwa kwenye media, harafu upande mwingine ushauriwe usijibu?
 
Mkuu... Kwanini tusitumie akili zetu wakati mwingine? Kuna ubaya gani kimwambia mtu fanya unapoweza serikali itafanya utapoishia? Ulitaka awape maneno ya kutia moyo kuwaridhisha tu!... Unafiki ndio umetufikisha hapa .... Asante Magu si mnafiki.
Lini alikwenda kagera akaambuwa kuwa wanakagera wanataka kujengewa nyumba na serikali? Watu wanahitaji maneno mazuri ya faraja katika kipindi hili! Jiongeze mkuu usiwe kama robot "mr yes man"
 
Lini alikwenda kagera akaambuwa kuwa wanakagera wanataka kujengewa nyumba na serikali? Watu wanahitaji maneno mazuri ya faraja katika kipindi hili! Jiongeze mkuu usiwe kama robot "mr yes man"
Unatia aibu.... Ni hasara kwa familia yako maana hawana mlezi!

Maneno ya faraja yanasaidia nini sasa ikiwa ukweli watu wanahitaji kukarabati makazi yao?

Yani familia yako haina msosi alafu unawapa maneno ya faraja kwamba msijali chakula mtapata tu! Badala ya kuwambia jishughulisheni wewe unawaambia watandike mikeka wakae wasubiri kuletewa?

Hovyo kabisa
 
Reactions: nao
Nimeamini ule ukweli kuwa ukoo wa Rais wa wasukuma na mainjinia kuwa wanakichaa naanza kuuona,, huyu jamaa hatoboi 2020 naona jeshi kushika hatamu
 
Hukumwelewa rais rudia kusoma
 
Katika huu uzi nmejifunza kitu kimoja tu!

Ukawa wameshikiwa akili...
 
Basi tu kwa sababu kajiwekea faini milioni saba ukimsema lakini huyu mtu sijui,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…