Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Eti kuna watu hili tetemeko wanalitumia kisiasa. Anasema kuna mtu amewatembelea na anakuja kutoa tamko...... Vijembe vijembe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaongea vijembeHatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13], eti halijaletwa na serikaliHatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?
Ndiyo mkuu! Kama kuna walioamini kuwa kupatwa kwa jua kuliratibiwa na serikali tukufu ya Jpm na kuamuliwa kuwa tukio hilo lifanyike Mbeya wanashindwa vipi kuamini kuwa tetemeko ni kazi ya serikali? Kama ujinga Ni mtaji basi serikali ina 99% ya share zote.Hatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?