Rais Magufuli timiza ahadi yako ya kumpatia ajira Joshua Nassari

Watu wa vetting tushapitia CV yake tukagundua madhaifu yake mengi tu.Akalime Nyanya
 
Hapana mkuu.
Kwani hicho cheo si ni cha kisiasa mkuu hakina umri maalum,unaweza rudi tena kazini update mafao Mara mbili Bwashee wangu.
RAIS siyo cheo cha kisiasa bwashee!

Huwezi kumteua Sugu au Babu Tale kuwa ama Das au Ras!
 
Nassari bana maisha yamekupiga umeamua uandike ww mwenyewe duh! Na huu ni uzi wako[emoji1787]
 
Daaah iv kumbe nasari yupo hapa bongo land na yeye anaisoma namba? mheshimiwa raisi mkumbuke pia na lijuakani kijana wako umpe hata kazi ya ulinzi pale ikulu
 
Nimekusikia kijana wangu Nassari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…