sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Nadhani hata Bashiru hamsikiliziYaani ukiuliza ni Watanzania wangapi walijua kuna hiyo hafla hata Kama ilitqngazwa hatufiki 4%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hata Bashiru hamsikiliziYaani ukiuliza ni Watanzania wangapi walijua kuna hiyo hafla hata Kama ilitqngazwa hatufiki 4%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndiye anayenajisi chaguzi zetu, na ukweli huo hata hao mabalozi wanaujua bali wanamchora tu.
Naunga mkono hoja, hata mimi niliwahi kushauriHata hivyo mpaka sasa hivi mm kwa upande Wangu bado sijaona ambae atapambana na mkuu kwenye urais Kama VIP aendelee tu mpaka atakapoachia kijiti 2025
Sent using Jamii Forums mobile app
You are despicable....!Hii ni ahadi nzuri sana, na victory margin ni ile ile ya 99.9% kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
P
Naunga mkono hoja, hata mimi niliwahi kushauri
PKwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Wanabodi. Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu Mpendwa, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tu", na kama hiki tunachokiona sasa, sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020, kuna haja kweli ya kufanya tena uchaguzi wa rais?. Kwa maoni yangu, uchaguzi wa...www.jamiiforums.com
Endelea kuota, mnajisi mkuu ni Mbowe na genge lake ndo maana hawana habari na ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila Tume Huru ya uchaguzi ni kudanganyana tu na hiyo 99.9% wataipata kwa kutumia polisi, tume na wakurugenzi ambao ni Makada wa CCM na huo si ushindi wa kujivunia ni kupoka tu uchaguzi.Hii ni ahadi nzuri sana, na victory margin ni ile ile ya 99.9% kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
P
AHahaa ahaaaa Paskali bana, ni sawa na kusema timu ambazo hazibebi kombe la ligi hapa nchi zisishiriki maana hazitabeba hilo kombe! Kwani sisi tuliposhiriki Afcon ilikuwa ni kwakuwa tutabeba hilo kombe? Ni hivi, Magufuli hawezi siasa za ushindani na wala hatakaa aziweze, hata kama atashinda huo uchaguzi hana uwezo wowote wa kushinda kwa zaidi ya 50%+ kama uchaguzi ni wa haki.
Na isitoshe kura za urais pia hata kama hutashinda zinachangia viti maalum vya ubunge. Sema unamtetea asipate ushindani sio kwamba kwakuwa anakubalika sana, bali hutaki apite kwa ushindani maana hana uwezo wa kushindana. History yake inaonyesha toka akiwa mbunge hakuwa anashinda kwa box la kura bali figisu.
Hizi kauli za hawezi na hatakaa aweze, huku mtu anaendelea kudunda, ni kauli za kujifariji tuu, sasa 2020 Magufuli na CCM wanakuja na tsunami ya kisulisuli, CCM itakomba kila kitu!.Hawezi siasa za ushindani na wala hatakaa aziweze, anachotegemea ni madaraka yake kumfanya atangazwe mshindi fullstop.
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema Serikali imejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba, 2020 unakuwa wa amani, uhuru na haki.
Kiongozi mkuu huyo wa nchi amesema utakapofika uchaguzi huo, nchi na taasisi mbalimbali zitakaribishwa Tanzania kushuhudia.
Ametoa kauli hiyo leo Jumanne Januari 21, 2020 alipokutana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania katika sherehe za mwaka mpya 2020 na chakula cha jioni zilizofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
Amebainisha kuwa uchaguzi ni jambo muhimu, Serikali imejipanga kuandaa mazingira mazuri katika uchaguzi huo.
“Mwaka 2020 mwezi Oktoba nchi yetu itafanya uchaguzi mkuu, zoezi la uchaguzi ni muhimu kwa nchi yoyote inayofuata misingi demokrasia, Serikali imejipanga kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu unafanyika katika mazingira ya amani, uhuru na haki” amesema Rais Magufuli.
Amesema ukikaribia uchaguzi huo nchi mbalimbali na taasisi za zitakaribishwa Tanzania kushuhudia.
“Kama ilivyo kawaida yetu wakati ukifika tutazikaribisha nchi na taasisi mbalimbali kuja kuangalia uchaguzi wetu ili kujionea jinsi nchi yetu inavyokomaa katika nyanja ya demokrasia,” amesema Magufuli aliyeapishwa kuwa Rais wa Tanzania Novemba 5, 2015.
Pascal kujua mshindi wa uchaguzi mkuu na kujua mpaka asilimia ya mshindi miezi 9 kabla ya uchaguzi ni kiashiria tosha kuwa uchaguzi hautakuwa huru na hakiHii ni ahadi nzuri sana, na victory margin ni ile ile ya 99.9% kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
P
Mkuu Ngambo Ngali, hizi ni trends, baada ya kushuhudia kilichotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, na kimekubalika, then hicho ndio kiwango chetu cha uchaguzi huru na wa haki na hiki ndicho kitakacho tokea kwenye uchaguzi Mkuu.Pascal kujua mshindi wa uchaguzi mkuu na kujua mpaka asilimia ya mshindi miezi 9 kabla ya uchaguzi ni kiashiria tosha kuwa uchaguzi hautakuwa huru na haki
Hizi kauli za hawezi na hatakaa aweze, huku mtu anaendelea kudunda, ni kauli za kujifariji tuu, sasa 2020 Magufuli na CCM wanakuja na tsunami ya kisulisuli, CCM itakomba kila kitu!.
P
Dar inaikaimu tu ikulu ya Dodoma, tulikwisha ondoka Dar tupo Dodoma.Ikulu ya Dodoma imekuwaje Tena? Au ndo kurudi dar kinyemela?