Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
Kuachia kijiti 2025!!! - atakuwa amempata wa kuendeleza haya anayoyafanya?Hata hivyo mpaka sasa hivi mm kwa upande Wangu bado sijaona ambae atapambana na mkuu kwenye urais Kama VIP aendelee tu mpaka atakapoachia kijiti 2025
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ngambo Ngali, nakumbuka hili swali nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara na kila siku huwa nalijibu jibu lile, Tume yetu ya uchaguzi, NEC ni tume huru kwa mujibu wa sheria ya uanzishwaji wake, na uchaguzi wetu kwa mujibu wa kanuni ni uchaguzi huru na wa haki.Pascal,
Naleta tena swali langu ambalo ulilikwepa kwenye post nyingine " ni nini kinakufanya useme tume ya uchaguzi ni huru"???
Hivi Bwana Mayalla nikuulize Suala, Hivi wewe ndio yule yule tunayefikiria kuwa ni msomi?Hii ni ahadi nzuri sana, na victory margin ni ile ile ya 99.9% kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
P
Unajisifia kwa kutoa rushwa, tena eti rushwa ya banana na maji! Hiyo siyo sera ya CCMTunakuaminia mkuu wetu. We piga kazi tu. Hao wapinzani watafanya mikutano mingapi huku weshaambiwa kuwa; Hata bunge likivunjwa hawapewi chao hadi baada ya uchaguzi?? Wadhani kugombea ni mchezo?? Hata hela ya kumnunulia banana mpiga kura huna! Wenzako wakifika wanamwaga maji ka takataka. Tutawapa walio tupa hayo maji kura zetu
Ni mimi, ila sijawahi kujipambanua kuwa ni mwandishi msomi, ila ni mwandishi mzoefu, mwaka huu ni mwaka wangu wa 30, nime cover chaguzi zote 5 za vyama vingi tangu 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, nikicover na mwaka huu utakuwa ni uchaguzi wa 6, hivyo ninachoeleza ni kitu cha kweli from eksipiriensi.Hivi Bwana Mayalla nikuulize Suala, Hivi wewe ndio yule yule tunayefikiria kuwa ni msomi?
Kwa nini hujipamabanui ukabakia maskani tu ya CCM ikifika mwisho wa wiki ukapewa buku 7.5 kwa kazi mzuri mitandaoni? Kama kweli wewe ni yule Msomi mwandishi wa habari, ningetegemea mada zako ziwe za uchambuzi zaidi ambazo mtu hawezi kukuelewa uko mrengu gani. Venginevyo unatupa mashaka. Nenda kajifunze Tena kwa waandishi kama Ahmed Rajabu
Hata leo nimemsikia Waitara akisema uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa huru na wa haki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Experince umeichukulia wapi Tanzania tu? Hio sio Experiecnce ni Mazoeya. Bora ungelipitia chaguzi zanchi mbali mbali duniani hala ukalinganisha, hio ndio itakuwa experienceNi mimi, ila sijawahi kujipambanua kuwa ni mwandishi msomi, ila ni mwandishi mzoefu, mwaka huu ni mwaka wangu wa 30, nime cover chaguzi zote 5 za vyama vingi tangu 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, nikicover na mwaka huu utakuwa ni uchaguzi wa 6, hivyo ninachoeleza ni kitu cha kweli from eksipiriensi.
P
Eksipiriensi yangu ni kwa uchaguzi wa Tanzania tuu. Hapa tunazungumzia uchaguzi wa Tanzania na demokrasia ya ki Tanzania ambayo ni sehemu ya African democracy.Hiyo Experince umeichukulia wapi Tanzania tu? Hio sio Experiecnce ni Mazoeya. Bora ungelipitia chaguzi zanchi mbali mbali duniani hala ukalinganisha, hio ndio itakuwa experience