RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 962
- 1,930
Unaelewa maana ya matusi?Anataka watu wasiongelee makosa yake. Wasimseme kabisa! Time will tell, save this thread!
Anataka watu wasiongelee makosa yake. Wasimseme kabisa! Time will tell, save this thread!
Exactly, kusikia kuwa amenunua ndege bila ridhaa ya bunge hayo ndiyo anaona ni matusi!Kweli kabisa, matusi anayoyazungumza yeye ni ukweli unaosemwa dhidi yake. Hata hii kuzuia mikutano ya kisiasa, na kauli zinazorudiwa mara kwa mara kuwa kuna vyama vinatukana kwenye siasa, ni katazo lake binafsi la kuusikia ukweli mchungu. Hiyo ni kwasababu hawezi siasa za ushindani, bali anaamini kwenye siasa za kusujudiwa.
Suti ya Idrisa?Ni ile suti.
Huyu mbaba ni mwoga sijawahi kuonaAnataka watu wasiongelee makosa yake. Wasimseme kabisa! Time will tell, save this thread!
Hakika. Siasa ni ngumu sana kama hukujiandaa kuwa mwanasiasaHuyu jamaa ana ngozi laini sana ile peacemaker ya kwenye moyo wake inamfanya hasiwezi kabisa kusikiliza habari zidi yake, Jiwe haziwezi challenge kabisa yeye anataka asifiwe tu.
Hutu akimaliza muda wake atakufa mapema sana maana atatukanwa na CCM na Wapinzani.