Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika. Siasa ni ngumu sana kama hukujiandaa kuwa mwanasiasa
Kweli ndugu yangu. Atajiumiza sana kwa kuwaza watu wanasemeje juu yake.Hajui kwamba mkubwa Jalala,umeutaka ukubwa alafu hawezi kabisa anasambaratisha familia na ukoo. Bure kabisa
Kwa mwendo huu ni rahisi sana kisababisha chuki na ulipizaji visasiHuyo Jiwe anatafuta kuhalalisha kulitumia Jeshi "lake" la Polisi, kuwafanyia unyama, wagombea wa vyama vya upinzani
Pia utekaji, vitisho na mauaji yasitokee kama yale yaliyomkuta MawazoAmefanya vizuri kuonya. Nadhani tutaendesha campeni za kistaarabu
Ziwe za upande wote kusiwe na daboAmefanya vizuri kuonya. Nadhani tutaendesha campeni za kistaarabu
Amefanya vizuri kuonya. Nadhani tutaendesha campeni za kistaarabu
Malawi vyombo vya dola havifungamani na Rais na mahakama ni vivyohivyo.Kama walivowahaidi jumuia za kimataifa uchaguzi utakuwa huru na uwe hivohivo.
Polisi nao wametuhaidi awatomuonea mtu na iwe hivo hivo.
Mfano polisi wa Malawi huwezi kuta wanashabikia chama tawala,ujitenga na ushabiki wa vyama kabisa.
Ili uchaguzi uwe huru,ccm isihofu Kama imewatendea mema wananchi Hakuna haja ya hofu.
Sipati picha kwenye kampeni watu kama kina Zitto wakipanda hewani na documents za jamaa wa twitterAmeanza kuchachawa mapema hivi?!
Wanatumia mfumo wa magharibi,polisi si Mali ya chamaMalawi vyombo vya dola havifungamani na Rais na mahakama ni vivyohivyo.
Sipati picha kwenye kampeni watu kama kina Zitto wakipanda hewani na documents za jamaa wa twitter