Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Yeye katukna wenzake, tena kwenye hotuba for 5 years sasa anaogopa kurudishiwa ndani ya miezi 2 tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa wapumbavu Sana. Ina maana huko CDM hawajui matusi ni Nini? Eti leo wanajifanya hawajui matusi, Sasa hamjui matusi ni Nini nendeni mkatukane ndo mtajua matusi ni Nini.Habari ndo hiyo,matusi hatutaki serlkali ipo macho.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Waache wakatukane, eti hawajui matusi ni Nini. Acha waambiwe kwa vitendo . Rais kaonya kwa maneno wao wanataka kwa vitendo kila la heri.Amefanya vizuri kuonya. Nadhani tutaendesha campeni za kistaarabu
Huyo Jiwe anatafuta kuhalalisha kulitumia Jeshi "lake" la Polisi, kuwafanyia unyama, wagombea wa vyama vya upinzani WATAKAOTUKANA.
Zitto keshapigwa ban ya mwaka mzima. Inabidi ajihadhari maana ni hukumu ya mahakama. Akikiuka hakuna kesi ni jela tuu .Sipati picha kwenye kampeni watu kama kina Zitto wakipanda hewani na documents za jamaa wa twitter
Bashiru kachapisha Fomu moja tu na yenyewe imeondoka, kama Membe unataka form, unatakiwa ukaombe kwa aliyechukua utoke copy.Kukosoa serikali ni matusi awamu hii.
Hapo ndipo chuki za wananchi zitaongezeka sana bora waache watu watoe dukuduku lao!!!!Umakini unahitajika mno na sana kwani kwa Kuongea Kwake hivyo kuna Watu yanaweza Kuwapata makubwa na hata wakaja Kujuta na Wasiamini.
tutashuhudia mengi ni suala la muda tu ila nitafurahi zaidi pindi atakapokuwa jukwaanni huku akiitaja midege,stigiazi joji,mi treni ya umeme[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]tuombe uzima tu
Sent using Jamii Forums mobile app