Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Una hofu na matusi gani wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu!?

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Una hofu na matusi gani wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu!?

Yote mnayosema yana mantiki sana!je kama hawa sisiem hawafai tumchague nani?mzee wa bapa?

Siasa ya bongo imepoteza mwelekeo,sina upande ninaouunga mkono,mtatuwakilisha
 
Namnukuu Gamba la Nyoka November 2011 hapa JamiiForums alitoa bandiko lenye kuhusu kuundwa kwa lugha mpya yaani newspeak ( George Orwell's book titled 1984) ambapo maneno yanayodaiwa ni "matusi', 'kejeli' yatazuka, takwimu , msemaji toka chanzo kinachoratibitiwa na serikali n.k wataamua kipi kiwe na maana hii au nyingine ili mradi kuwalinda kwa namna yoyote waliopo madarakani

lets take a quick look at how a Newspeak operation works. It requires sequential planning, it requires time, it requires proper logistics, it requires credible spokespeople in public and private sectors, it requires choosing the right words and images at the right time and in the right circumstances.
mwisho wa nukuu toka kwa Gamba La Nyoka.
 
Umakini unahitajika mno na sana kwani kwa Kuongea Kwake hivyo kuna Watu yanaweza Kuwapata makubwa na hata wakaja Kujuta na Wasiamini.
Ni Ndugu Kuna Haja Ya Umakini Si Mahali Pa Kukurupuka Ili Hali Tahadhari Ipo
 
Mzee baba hana kifua cha kuhimili kauli za kumuudhi japo yeye ni bingwa wa maneno ya kwenye kanga
Siku hizi amechukua nafasi ya Mungu,watu wanamuabudu na yeye anafurahi.

Akijasikia kwamba,aliongea ujinga kusema mapapai yana corona anaona ni matusi,na adhabu ya yule aliyesema ni kifo anachoidhinisha kwa siri.
 
hukumuelea Mh. Rais,

Alicho manisha ni kwa wagombea wote kuepuka lugha za matusi katika kampeni kwani ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.

kwa kuwa wapinzani sera zao zimejengwa katika misingi ya matusi wan ahii kunyimwa pumzi.
 
Wanajitahidi kujificha vichwa mchangani,walijisahau wakawa wanajinadi kwa vitu hewa ambavyo wamekeza matrilioni ya fedha za Watanzania na mikopo ya kila aina.Miradi yao bado IPO kwenye unproductive stage,haizalishi na haitaleta faida yoyote pre election na wanashuku wapinzani watautumia huo udhaifu kuwapondea kwa wapiga kura.Ndiyo maana hoja hizi wanaanza kuzipa jina LA matusi.Kuna watukanaji zaidi ya CCM nchi hii?..
Kuna mwanaccm mwenye matusi kumzidi Lusinde?
 
Kampeni bila vijembe wapi na wapi. Hata uende Marekani, Uingereza, Ujerumani nk wembe ni huo huo.

Kama yeye anaanza kujihami kwa kuvurunda kwake hiyo haituhusu sisi lkn yeye aelewe kuwa kwenye kampeni watu hawawezi kumsifu kwani kila chama kinataka kiunde serikali sasa wewe ukikaa kumsifia mwanaume mwenzako hiyo serikali utaundaje.
Anaogopa ukweli,mbona kila Sikh analalamikia wapinzani kupinga kila kitu,alitarajia wasifie kila kitu?
 
We unatumia akili? Yaani sheria inaruhusu kubadili matumizi ya pesa alafu we unataka kushupaza shingo eti nayo ni hoja?
Mbona alipobadili pesa za sherehe za uhuru zijenge Hospital ya Uhuru hamkuhoji? Au sababu mlikuwa hamtaki mkoa wa Geita uwe na kiwanja cha ndege.
Sasa kipindi kilisitishwa kwa sababu gani?
 
Wanajitahidi kujificha vichwa mchangani,walijisahau wakawa wanajinadi kwa vitu hewa ambavyo wamekeza matrilioni ya fedha za Watanzania na mikopo ya kila aina.Miradi yao bado IPO kwenye unproductive stage,haizalishi na haitaleta faida yoyote pre election na wanashuku wapinzani watautumia huo udhaifu kuwapondea kwa wapiga kura.Ndiyo maana hoja hizi wanaanza kuzipa jina LA matusi.Kuna watukanaji zaidi ya CCM nchi hii?..

SGR, Stigglers, Ndege, elimu bure, ujenzi wa vituo vya afya, flyovers then imeishia hapo hakuna tena kingine cha kuongea hapo jukwaani.
 
hukumuelea Mh. Rais,

Alicho manisha ni kwa wagombea wote kuepuka lugha za matusi katika kampeni kwani ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.

kwa kuwa wapinzani sera zao zimejengwa katika misingi ya matusi wan ahii kunyimwa pumzi.

Hivi mfano neno kilaza ni tusi au sio tusi mkuu?
 
Back
Top Bottom