Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Inategemea liketumiwa na naniHivi mfano neno kilaza ni tusi au sio tusi mkuu?
Likitumiwa na Magufuli sio tusi ila likutumiwa na Mnyika ni tusi , tena kesi yake haina dhamana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea liketumiwa na naniHivi mfano neno kilaza ni tusi au sio tusi mkuu?
Inategemea liketumiwa na nani
Likitumiwa na Magufuli sio tusi ila likutumiwa na Mnyika ni tusi , tena kesi yake haina dhamana
Akawii kusema mambo ya ajabu aliyoyafanya yanamilikiwa na jeshi hivyo hayatakiwi kujadiliwa ovyo ovyo.Yeye ndie wa kumuacha shetani wa matusi, kejeli na vitisho. Leo tu keshaanza mitusi.
Kukosolewa atakosolewa tu, na atakumbushwa mabovu na maovu yake tu, hata akiamua nayo kuyaita matusi.
Hana,akiendelea zaidi ya hapo ni kujichekesha na story za DC aoe,Mara DED hana mke,waende CBE/UDOM kuchagua wachumba.Sgr,Stigglers,Ndege,elimu bure,ujenzi wa vituo vya afya,flyovers then imeishia hapo hakuna tena kingine cha kuongea hapo jukwaani.
Ule ulikuwa na utabaki kuwa ufisadi,8 billion Tax Payers Money buried by Mzalendo No.1.Only in Tanzania where something like that might happen and some of us are praisingly singing peacefully.Akawahii kusema mambo ya ajabu aliyoyafanya yanamilikiwa na jeshi hivyo hayatakiwi kujadiliwa ovyo ovyo.
Refer ile issue ya meli ya Bagamoyo
Kwa mfano picha kama hiyo hapo juu angekuwa rais Maghufuli ingekuwa matusi? Nadhani mleta hoja ana hoja ya msingi kabisa!Wewe wacha chezea hii [emoji116]View attachment 1480562
Mbona ameanza kupagawa kabla hata kipenga hakijalia?! 🥴🥴Amefanya vizuri kuonya. Nadhani tutaendesha campeni za kistaarabu
Tv zote zitazuiwa kuonyesha mikutano ya wapinzani Hadi wawe na kibali,only tbcccm. Maana ni wakati wa kutoa hesabu umewasaidia nn wananchi.Sipati picha kwenye kampeni watu kama kina Zitto wakipanda hewani na documents za jamaa wa twitter
Kazi tunayo!Ndio siasa huna kifua kidogo huwezi imili hoja za mpinzani wako usichukue form.Maana Vita vya kugombea matumizi ya Kodi zetu si Vita vya kitoto
Ongezea na maelfu ya vijana walio maliza vyuo wapo mtaaniNawambieni hoja ya watumishi wa umma kutelekezwa ni hoja kubwa sana mwaka huu, kumbukeni kundi hili ndilo lina uelewa mpana sana kwenye jamii kwasababu ya kuelimika nakumbuka miaka ya 2005 nilifanya ushawishi mkubwa kwa ndugu na jamaa Kyle kijijini wampigie kura Kikwete, wapinzanzani chezeni vizuri na hii issue. Jazeni hasira watumishi nao wataeneza sumu nchi nzima kwani miaka mitano nilikuwa ni danadana za maslahi ya watumishi na kejeli,nawambieni hii ni hoja kubwa chama kitakacho itumia vizuri kitapata odds za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoto wa dada anachochea mauaji hizi ndizo huwa zinatumika Kama ushahidi the Hague pakichafuka.Zimewafunga warundi,wanyarawanda wengi mfano kina akayesu,nk. Huu ni ushahidi tosha upo Google na kauli zao zote za kuchochea machafuko, uzuri Google inahifadhi kila kitu forever.Kazi tunayo!
View attachment 1480975
Hii kampeni silaha yeyeto we tumia wananchi watachambua wenyeweKwa hiyo nyie Bavicha mlitaka aseme kuwa matusi ni ruksa?
ingekuwa enzi ya mchonga angelala ndani mwezi na u- ccm wakeKazi tunayo!
View attachment 1480975