Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umeandika kisiasa kuliko kiuhalisia, hakuna aliyekataa chanjo, kinachojataliwa ni kupokea chanjo na kuwapa wananchi bila ya sisi wenye kujiridhisha na ubora wa hiyo chanjo.Sasa kama hamtaki chanjo za Mabeberu, si mtengeneze za kwenu!! Au ndiyo ile ya KUJIFUKIZA ndiyo chanjo mliyo igundua?..
Sisi watanzania hatuziamini over01: Chanjo zimepitia hatua zote za Kisayansi ikiwemo majaribio na ikathibitika inafaa kwa matumizi ya wanadamu.
02: Wazungu tayari wameshaanza kuitumia na wameendelea kuagiza kwa wingi. Haulazimishwi, lakini pia usilazimishe kwenda kwenye nchi zao kama haujachanjwa.
03: Chanjo siyo tiba.
Na kama sisi wafanyakazi, tutamchukia milele!! Haiwezekani ni mwaka wa sita huu hakuna kupanda daraja!! Hakuna nyongeza ya mshahara, nk. Na tutamchukia sana tu. Hakuna namna.Umejiuliza kwanini chanjo za USA,CANADA na EU ni tofauti na zinazopangwa kuletwa Africa?, Unajua zao zinacost sio chini ya $200?, Kama unakumbukumbu nzuri mwaka jana mwezi wa nne WHO,CNN na vyombo vyote vya habari vilisema itachukua sio chizi ya miezi 18 kupata chanjo ya CORONA, miezi 8 baadae wanasema wana chanjo tayari, unasemaje kuhusu hilo!?... Nakupa homework moja ARV kabla hazijaboreshwa ziligawiwa dawa zinaitwa AZT zifatilie uzisome,zilikuwa ni sumu zimechorwa kabisa danger na walikuwa wanagawiwa hadi watoto na zimewanyonga wengi hadi wazungu hao hao. Hii dunia ina siri kubwa sema wengi mnaendeshwa na chuki dhidi ya JPM.
Njaa itakuuwa wewe usipopata uteuziSalaam Wana JF.
Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19...
Umesahau kuweka na nambari yako ya rununuSalaam Wana JF.
Nianze andiko hili kwa kurejea usemi huu usemao "Africa consumes what it does not produce and produces what it does not consume" Kuna mantiki pana juu ya usemi huu na kinachoendelea kwa sasa dhidi ya chanjo ya Covid 19...
Hapa tunaongelea Corona anzisha uzi wa wafanyakazi. Kama umeongeza familia kubwa na majukumu ukitegemea nyongeza ya mshahara toka kwa JPM huna akili. Je, ungefukuzwa kazi ungefanyaje?.. kwahiyo kwasababu ya chuki ukiletewa chanjo feki utakubali kuchanjwa kumkomoa Magufuli!??.. narudia huna akili wewe.Na kama sisi wafanyakazi, tutamchukia milele!! Haiwezekani ni mwaka wa sita huu hakuna kupanda daraja!! Hakuna nyongeza ya mshahara, nk. Na tutamchukia sana tu. Hakuna namna.
Ubarikiwe sana mkuuChanjo/tiba za kisayansi ambayo watu wameumiza vichwa vyao, pesa nyingi, huwezi zingumzia kimipasho vile, kwani alishindwa nini kusema tu, zitatumika nchini baada ya wataalam wetu kuzizibitisha(kama huo uwezo wanao lakini)ilikuwa inatosha tu, na angeeleweka tu!..
Daaa watu mna kumbu kumbu za kutosha, namuona mzee Baba anapiga kikombe.....lakini huyo anayejiita mwendawazimu hakuona shida kupanga foleni kupata kikombe cha Babu ambacho hakikufanyiwa utafiti wa aina yoyote ile!!!! Nileteeeeeeeeni gwajimaaaaaaaaa
View attachment 1689519
Wewe na mimi nani akipimwa atagundulika mapema kutokua na akili, bila shaka ni wewe unayemtukuza na kumtetea mtu ambaye unafanana naye kwa kila kitu.Hapa tunaongelea Corona anzisha uzi wa wafanyakazi. Kama umeongeza familia kubwa na majukumu ukitegemea nyongeza ya mshahara toka kwa JPM huna akili. Je, ungefukuzwa kazi ungefanyaje?.. kwahiyo kwasababu ya chuki ukiletewa chanjo feki utakubali kuchanjwa kumkomoa Magufuli!??.. narudia huna akili wewe.
👍😍🥂💪Thanks a mega times Dk. Mumba, you are dead right Dk. Mumba - some Africa corrupt leaders are gonna be conduit used by white supremist to wipe out black race off the Earth by using untested, unproven vaccines.
Make no mistakes, these crooks are well organised and hell bent to see to it that their evil plan shall come to pass.
Mkuu usifikiri kila anae support tahadhali zilizo tolewa na JPM kuhusu chanjo, basi mtu kama huyo anaganga njaa - msichukulie kila kitu ni siasa siasa tu.Njaa itakuuwa wewe usipopata uteuzi
Kama wewe ndiyo kabisaaa unaganga njaaa kwa kujipendekezaMkuu usifikiri kila anae support tahadhali zilizo tolewa na JPM kuhusu chanjo, basi mtu kama huyo anaganga njaa - msichukulie kila kitu ni siasa siasa tu.
Sisi wengine tunawahi mazishiniAsubuhi njema, tuwahi makazini!