Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungemuuliza kuhusu zile anazokunywa kila siku (EIARAVII) ubora wake vipiSasa kama hamtaki chanjo za Mabeberu, si mtengeneze za kwenu!! Au ndiyo ile ya KUJIFUKIZA ndiyo chanjo mliyo igundua?...
Naishauri serikali kupitia wizara ya afya iagize dozi walau milioni moja hawa vibaraka wa hiyari wa ubeberu wachanjwe sasa. Maana tumechoka na kelele zao.Habari wakuu!!! Nichukue mda huu kumpongeza Mh Rais magufuli kwa kuwa na msimamo ambao hauyumbishwi na mtu Yoyote, tunaojua kilichopo nyuma ya chanjo ya corona, tunakupongeza kwa kutoiruhusu kabisa!...
Hojini na ARV halafu mzikatae muone matokeo yake. Mzungu akitaka kutuumiza ni rahisi kwake kama kuswitch on umeme taa ziwake. Kama angekuwa na nia ya kutuangamiza si mnakataa chanjo ,anaewka sumu kwenye vya ARV hapo tuna ujajnja gani wakati tuna wapendwa wetu maisha yao ya kesho yanategemea ARV ya mbeberu Marekani kama mnavyopenda kumwita .Kuna bwege mmoja humu huyu atakuwa ni zwazwa wa lumumba kazi yake ni kufuta tu jumbe zangu sijui zinachokonoa sehemu yake fulani hivii inawezekana ni bwabwa huyu
Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na hoja zako.Sasa kama hamtaki chanjo za Mabeberu, si mtengeneze za kwenu!! Au ndiyo ile ya KUJIFUKIZA ndiyo chanjo mliyo igundua?...
Kazi ya TFDA ni ipiKwa hiyo mtu akitumia mamilioni pesa zake lakini mwisho wa siku anakuja kuvuna mabilioni kutoka kwako hiyo kwako ni sawa.
Kampuni za kutengeneza chanjo hazikupi muda wa kuzikagua chanjo zao, wanachokupa ni makaratasi ya utafiti tu na kukwambia uwachome watu wako mara baada kupokea hizo chanjo. "No questions asked"
Tena kama likitokea janga, huwezi kushitaki hizo kampuni ili kulipwa fidia, unashitaki serikali yako iliyoruhusu hizo dawa zitumike.
Mbona asijiridhishe kwenye yale Maboksi ya Kura za Wapinzani yalioibiwa na Tume yakeMagufuli yupo sahihi kabisa kuhoji na kutaka kujiridhisha
Jeuri ya kisiasa ndo maana wameamua kurudia waganga wa kienyejiKwa kiasi kikubwa nakubaliana na hoja zako.
Kwa muda mrefu sasa wanasiasa wa nchi hii wamepuuza tafiti za sayansi na tiba...
✓White WizardChanjo/tiba za kisayansi ambayo watu wameumiza vichwa vyao, pesa nyingi, huwezi zingumzia kimipasho vile, kwani alishindwa nini kusema tu, zitatumika nchini baada ya wataalam wetu kuzizibitisha(kama huo uwezo wanao lakini)ilikuwa inatosha tu, na angeeleweka tu!..
Chanjo/tiba za kisayansi ambayo watu wameumiza vichwa vyao, pesa nyingi, huwezi zingumzia kimipasho vile, kwani alishindwa nini kusema tu, zitatumika nchini baada ya wataalam wetu kuzizibitisha(kama huo uwezo wanao lakini)ilikuwa inatosha tu, na angeeleweka tu!...
01: Chanjo zimepitia hatua zote za Kisayansi ikiwemo majaribio na ikathibitika inafaa kwa matumizi ya wanadamu.
02: Wazungu tayari wameshaanza kuitumia na wameendelea kuagiza kwa wingi. Haulazimishwi, lakini pia usilazimishe kwenda kwenye nchi zao kama haujachanjwa.
03: Chanjo siyo tiba.
01: Chanjo zimepitia hatua zote za Kisayansi ikiwemo majaribio na ikathibitika inafaa kwa matumizi ya wanadamu.
02: Wazungu tayari wameshaanza kuitumia na wameendelea kuagiza kwa wingi. Haulazimishwi, lakini pia usilazimishe kwenda kwenye nchi zao kama haujachanjwa.
03: Chanjo siyo tiba.
Kwa chanjo hizo za covid, TFDA ni kama hawana kazi. Kazi yao inafanywa na Africa CDC. Unaletewa chanjo, unapewa makaratasi ya utafiti wao na kuambiwa wachache watu wenu haraka iwezekanavyo. Chanjo yenye haina muda mrefu kabla haijaharibiaka. (Short shelf life).Kazi ya TFDA ni ipi
Ni kweli imerudi tena, lakini kwa sasa sio tishio tena kama 2018!!wazungu tuwape heshima zao tu, hapa mwanasayansi anamuogopa anashindwa kusema ukweli juu ya jambo linalohusu taaluma yake kwa kumuogopa mwenyekiti wa shina wa ccm!!!Ebola ipo
Chanjo hizi hazijapitia hatua zote!! Zimekuwa fast-tracked!! Zingepitia hatua zote zingetumia miaka 10 kukamilika. Lakini sasa zimetumia miezi 10 tu.01: Chanjo zimepitia hatua zote za Kisayansi ikiwemo majaribio na ikathibitika inafaa kwa matumizi ya wanadamu.
02: Wazungu tayari wameshaanza kuitumia na wameendelea kuagiza kwa wingi. Haulazimishwi, lakini pia usilazimishe kwenda kwenye nchi zao kama haujachanjwa.
03: Chanjo siyo tiba.
Kutokana na maswali hayo kutokuwa na majibu, wazuChanjo hizi hazijapitia hatua zote!! Zimekuwa fast-tracked!! Zingepitia hatua zote zingetumia miaka 10 kukamilika. Lakini sasa zimetumia miezi 10 tu..
Mkuu usifikiri kila anae support tahadhali zilizo tolewa na JPM kuhusu chanjo, basi mtu kama huyo anaganga njaa - msichukulie kila kitu ni siasa siasa tu.
Majibu ya maswali uliyouliza yanatakiwa yatolewe na serikali ya Tanzania kwa kutumia wataalamu wetu.Chanjo hizi hazijapitia hatua zote!! Zimekuwa fast-tracked!! Zingepitia hatua zote zingetumia miaka 10 kukamilika. Lakini sasa zimetumia miezi 10 tu..
Si utengeneze chanjo zako sasa? Maneno meengi ya nini? Huna capacity ya kutengeneza chanjo zako au tatizo ni nini hasa??Kwa hiyo mtu akitumia mamilioni pesa zake lakini mwisho wa siku anakuja kuvuna mabilioni kutoka kwako hiyo kwako ni sawa..