white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sasa nibishane na mtu ambaye hajui hata kutofautisha, kati ya parasites na virus?!!kama hutojali secondary ulisoma kweli?daaa pathetic!!ndio tatizo la kumeza kauli bila ku digest kwa ubongo wako!!eti malaria nayo inatakiwa iwe na chanjo!!!ila sikulaumu sana kwani jina tu li akisi uwezo wako hata hivyo umejitahidiKwenda zako na mawazo mgando hayo..kuna siku watakubebea mke wakwambie wanakuletea wa kizunguzu nyambafu.
Huku mtaani Corona iko wapi? Mnaiona nyinyi tu? Mbona hamjawahi kuomba chanjo ya Malaria?
Hovyo kabisa