white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Sasa nibishane na mtu ambaye hajui hata kutofautisha, kati ya parasites na virus?!!kama hutojali secondary ulisoma kweli?daaa pathetic!!ndio tatizo la kumeza kauli bila ku digest kwa ubongo wako!!eti malaria nayo inatakiwa iwe na chanjo!!!ila sikulaumu sana kwani jina tu li akisi uwezo wako hata hivyo umejitahidiKwenda zako na mawazo mgando hayo..kuna siku watakubebea mke wakwambie wanakuletea wa kizunguzu nyambafu.
Huku mtaani Corona iko wapi? Mnaiona nyinyi tu? Mbona hamjawahi kuomba chanjo ya Malaria?
Hovyo kabisa
Ukiwa na mtu anayependa pesa kuliko utu wa mtu uwe na hakika hata jali kama u mzima au laa anachojua ni pesa kwanza ili mishe zake zitengemae bila kujali hali halisi. Watu wa jinsi hiyo si kitu kwao wewe kuangamia lkn anachotaka akichungulia mkoba azione pesa bado zipo.
Nyie wa kiswaenglish hua ni wapumbavu kupita kiasi,hakuna mnalojua zaidi ya kuiga mnachoona kwenye tv.Sasa nibishane na mtu ambaye hajui hata kutofautisha, kati ya parasites na virus?!!kama hutojali secondary ulisoma kweli?daaa pathetic!!ndio tatizo la kumeza kauli bila ku digest kwa ubongo wako!!eti malaria nayo inatakiwa iwe na chanjo!!!ila sikulaumu sana kwani jina tu li akisi uwezo wako hata hivyo umejitahidi
Inshu hapa sio lugha, bali ujinga, kutojua chanjo inatumika kwenye magonjwa yanayoambukizwa na virus , sasa unaposema eti chanjo ya malaria!!malaria inaambukizwa na virus?Nyie wa kiswaenglish hua ni wapumbavu kupita kiasi,hakuna mnalojua zaidi ya kuiga mnachoona kwenye tv...