mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mzungu ni mzungu tuKwa Magu naona wadhungu wanaisoma namba mdogo mdogo
Ni demokrasia gani magufuli na ccm wanaitaka? Kama hata ndege unanu ua kwa mzungu weweu azalisha nini?
Na aliyewauzia hizo mali ni nani kama sio ccm?
wasingependa tutoe elimu bure n.k, wangependa tuendelee kuwategemea wao, ilihali wao wanaishi kwa kutegemea rasilimali zetu”- Rais John Pombe Magufuli.
Uzalendo na uzalendo !Nahisi "uzalendo" huo umechochewa na kauli ya NGOs Jana kutaka uchaguzi shirikishi, huru na Wenye kuzingatia haki ukiwa ni pamoja na kuwa na tume huru nk!!
Uzarendo huo sio uzalendo. Uzarendo hautaki uchaguzi wa haki na wala hautaki kusikia habari za tume huru Bali uzalendo unahitaji hivyo!
Hapa ni wazi kabisa mnaonyesha ni jinsi gani mnavyomuogopa Mh Lissu na ndiyo maana mkafikia hatua mliofikia. Hapa kila hoja mnajaribu kuijenga ili mpate uhalali wa maovu dhidi ya binadamu mwenzenu.Kama Yesu alisalitiwa unashangaa nini kuwepo watz wasaliti? Unashangaa nini wakati Tundu Lissu alijitokeza mbele mchana kweupe akasema alichukua docs za serikali na kupeleka kwa maadui wa nchi yetu wakakamata ndege yetu huko Canada pale mwanzo.
Siwezi kuwashangaa kwani hata ukiangalia kesi zilizoko Mahakamani hasa kwa Wapizani ni mbinu mojawapo ya kuwachafua mbele ya jamii. Hivyo hata hili la usaliti ndiyo agenda yenu kuu ili kutafuta uungwaji mkono kwa maovu yenu hayo. Kumbuka alishasema "Watz SIYO wajinga" wanaelewa kila kitu dhidi ya uongozi wa awamu ya tano.Mawazo mbadala ya kisaliti hayasaidie nchi na msaliti adhabu yake ni moja tu. Kasome Biblia utajua adhabu yake ni ipi.
Sie tunaangalia mtu na sio Chama kama tukianza kujadili hayo Mwenyekiti wenu amekula michango ya Wabunge yote ambayo kimsingi hizo zilikuwa kwaajili ya UchaguziRaisi anatoa Kauli za kijinga kabisa ,
waliosaini mikataba ya kinyonya ya kuiba rasilimali za nchi yuko nao kwenye chama chake,
wakati hayo yanatendeka alikuwa kwenye cabinet anapiga makofi
Unataka kuwa uda? Unajua kilochotokea kwake? DhAmbi yake imeAndikwa kwa wino usiofutika, kifupi anatiketi ya kwenda jehanam je nawe unaitaka?Kama Yesu alisalitiwa unashangaa nini kuwepo watz wasaliti? Unashangaa nini wakati Tundu Lissu alijitokeza mbele mchana kweupe akasema alichukua docs za serikali na kupeleka kwa maadui wa nchi yetu wakakamata ndege yetu huko Canada pale mwanzo.
Eti Leo Magufuli ndo kawa mzalendo, miaka yote yuko mbunge/waziri, ameshiriki kutuibia na ccm yao. Leo analeta hadaa, halafu Lumumba wanashangiliaHizi hekaya za ati uzalendo ni hekaya za abunuwasi
Baada ya uhuru hivi vyama vya uhuru vimeuza nchi kuliko hata mkoloni
Leo hii wananchi wameamka na kuanza kuhoji ati ndio inaletwa story ya Uzalendo
Mfano mzuri ni KANU kimeshaaga dunia je uzalendo ulipotea?!
Acheni kudanya wananchi leo hii bila Chadema na wapinzani kwa ujumla CCM ingebakia ile ile