Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

Kwanini kila wakati yeye huwachukia wanaotoa mawazo mbadala? Kwanini anaamini mawazo yake binafsi kuliko ya wengine? Kwanini maendeleo kwake ni kuwadharau wengine na hata kufikia hatua ya kuwatenga pale tu wanapoonyesha penye udhaifu ktk uongozi wake?? Kwanini anaona nchi haikupata na haitopata maendeleo bila yeye??

Kwa upande mwigine bila Wazalendo wa kweli kusimama imara ktk maamuzi ya kitaifa na kimataifa huyu Mzee kuna sehemu atatufikisha kila mtu atalia. Sifa za mchezaji uwanjani huonekana kwa watazamaji wa mechi na sio yeye kuanza kuwatuhumu wengine huku akijisifia mwenyewe. Nchi kuendelea ni pale wananchi wake watakapoweza kujitatulia matatizo yao wenyewe kwa uhuru bila kusubiri hisani ya mtu mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hekaya za ati uzalendo ni hekaya za abunuwasi
Baada ya uhuru hivi vyama vya uhuru vimeuza nchi kuliko hata mkoloni
Leo hii wananchi wameamka na kuanza kuhoji ati ndio inaletwa story ya Uzalendo
Mfano mzuri ni KANU kimeshaaga dunia je uzalendo ulipotea?!
Acheni kudanganya wananchi leo hii bila Chadema na wapinzani kwa ujumla CCM ingebakia ile ile
 
wasingependa tutoe elimu bure n.k, wangependa tuendelee kuwategemea wao, ilihali wao wanaishi kwa kutegemea rasilimali zetu”- Rais John Pombe Magufuli.


Juzi kwenye hotuba pale Kirumba aliwastahi kwakuwa baadhi yao walikuwa jukwaani aliwaita washirika wa maendeleo😂😂,
 
Nahisi "uzalendo" huo umechochewa na kauli ya NGOs Jana kutaka uchaguzi shirikishi, huru na Wenye kuzingatia haki ukiwa ni pamoja na kuwa na tume huru nk!!

Uzarendo huo sio uzalendo. Uzarendo hautaki uchaguzi wa haki na wala hautaki kusikia habari za tume huru Bali uzalendo unahitaji hivyo!
Uzalendo na uzalendo !
Haya mambo ya ukoloni mamboleo yamekuwepo dhidi ya ulimwengu WETU na ayakuanza leo. Ukoloni mamboleo hujibadilisha rangi kama kinyonga mnyama akibakia yule yule. Ni suala la kujipanga dhidi ya mfumo huo na kuendelea hivyo bila kusinzia. Upande wao hawajawahi lala. HATUNAGA UNDUGU nao wa aina yoyote ile.
 
Kama Yesu alisalitiwa unashangaa nini kuwepo watz wasaliti? Unashangaa nini wakati Tundu Lissu alijitokeza mbele mchana kweupe akasema alichukua docs za serikali na kupeleka kwa maadui wa nchi yetu wakakamata ndege yetu huko Canada pale mwanzo.
Hapa ni wazi kabisa mnaonyesha ni jinsi gani mnavyomuogopa Mh Lissu na ndiyo maana mkafikia hatua mliofikia. Hapa kila hoja mnajaribu kuijenga ili mpate uhalali wa maovu dhidi ya binadamu mwenzenu.

Mnajaribu kwa kila hali kukingia kifua mhalalishaji wa uharamia ule dhidi ya Mh Lissu. Kila wakati urasikia kuna wasaliti wanaojaribu kushirikiana na mabeberu kuhujumu nchi yetu jambo ambalo sio kweli. Hayo yote yamewekwa kuwa agenda kuu kwajili ya uchaguzi ujao na si vinginevyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo mbadala ya kisaliti hayasaidie nchi na msaliti adhabu yake ni moja tu. Kasome Biblia utajua adhabu yake ni ipi.
Siwezi kuwashangaa kwani hata ukiangalia kesi zilizoko Mahakamani hasa kwa Wapizani ni mbinu mojawapo ya kuwachafua mbele ya jamii. Hivyo hata hili la usaliti ndiyo agenda yenu kuu ili kutafuta uungwaji mkono kwa maovu yenu hayo. Kumbuka alishasema "Watz SIYO wajinga" wanaelewa kila kitu dhidi ya uongozi wa awamu ya tano.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku mkipigwa ban,muwe mnaenda madukani kununua mkate na sandrusi ndo mtajua uzalendo ulitukuka zaidi wa yule wa Zimbabwe,RIP Mandela wewe ndo mwamba wa Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi anatoa Kauli za kijinga kabisa ,

waliosaini mikataba ya kinyonya ya kuiba rasilimali za nchi yuko nao kwenye chama chake,
wakati hayo yanatendeka alikuwa kwenye cabinet anapiga makofi
Sie tunaangalia mtu na sio Chama kama tukianza kujadili hayo Mwenyekiti wenu amekula michango ya Wabunge yote ambayo kimsingi hizo zilikuwa kwaajili ya Uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
emalau, Mkuu unataka uhuru zaidi ya huu wa kuandka hiki unachokiandika?
Btn the lines ww unaonekana kuwa na chuki zaid ya uzalendo

UnabitweenishA kile kisichokuwepo na kulazimisha kiwepo, jifunza basi kukosoa kinachoonekana, hatusemi presodoo is an angel bt hayupo hvyo ulivyom bitweenisha...

Ni wajib wako na wangu kukosoa kwa ustahaa, kuelimisha na pengine kuja na suluhisho maana hii nchi yetu sote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Iddy amini alifanya mambo mazuri ya kimaendeleo kuliko Magufuli.

Lakini Iddy Amin leo anakumbukwa kwa mabaya tuu.


Magufuli siku akitoka madarakani ndio atajuta kwa nini alifanya mambo ya hovyo kiasi hicho.
Alex Fredrick,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
zebedayo musibha, Vipi kule Zimbabwe,Mugabe hakupata support kutoka kwa wananchi? Then walivyomsapot what happened,kuikataa hela ya nchi yao ya kizalendo na kutangaza kuanza kutia dollar ya Marekani,ina maana uzalendo kwishnei,wakaanza kutumia dollar ya mabeberu

Tangu mzalendo akae Zimbabwe vipi maisha ya wazimbabwe, vipi pato lao la Taifa,miaka zaidi ya 30 ya Mugabe,vipi ni donor country kwa sasa

Ndo mnataka kutoka wa mzalendo wa nchi hii?

Tafakari chukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Yesu alisalitiwa unashangaa nini kuwepo watz wasaliti? Unashangaa nini wakati Tundu Lissu alijitokeza mbele mchana kweupe akasema alichukua docs za serikali na kupeleka kwa maadui wa nchi yetu wakakamata ndege yetu huko Canada pale mwanzo.
Unataka kuwa uda? Unajua kilochotokea kwake? DhAmbi yake imeAndikwa kwa wino usiofutika, kifupi anatiketi ya kwenda jehanam je nawe unaitaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hekaya za ati uzalendo ni hekaya za abunuwasi
Baada ya uhuru hivi vyama vya uhuru vimeuza nchi kuliko hata mkoloni
Leo hii wananchi wameamka na kuanza kuhoji ati ndio inaletwa story ya Uzalendo
Mfano mzuri ni KANU kimeshaaga dunia je uzalendo ulipotea?!
Acheni kudanya wananchi leo hii bila Chadema na wapinzani kwa ujumla CCM ingebakia ile ile
Eti Leo Magufuli ndo kawa mzalendo, miaka yote yuko mbunge/waziri, ameshiriki kutuibia na ccm yao. Leo analeta hadaa, halafu Lumumba wanashangilia
 
zebedayo musibha,
Unanikatisha tamaa ndugu yangu,yani umesema KWAME,LUMUMBA,SAMORA,KAUNDA,MUGABE,GADDAFI na wengineo WALISHINDWA!na walikuwa very bright & inteligent,hasa huyu Gaddafi aliewafanyia wa LIBYA kila kitu lakini aling'oka ni kitu gani kitawashinda hao mabeberu wakiamua?
 
Niko tayari kuua kama Rwanda kwa ajili ya kumlinda na kuulinda utawala wa Magufuli, jamaa ni Alama sahihi ya Shujaa na mwana mapinduzi
 
Matatizo ya nchi yetu ni Wazungu?Kwakuwa kila kukicha Mara mabeberu, utadhani tungepata Uhuru Jana! Bila misaada ya Mabeberu tungekuwa zero. Iko Siku tutawatafuta.
 
Hamna uzalendo hapo. Magufuli anatakiwa aache kuumiza watu na aheshimu uchaguzi wa 2020.
Ameshanyoshewa kidole huyo na WANAUME/MANEBERU.
 
Back
Top Bottom