Hivi mtu anayekupenda akikwambia Oya, Funga zipu ya suluali, Je huyo hakupendi? Unataka utembee barabarani uchi wa mnyama? ''The word to the wise man suffices"ugonjwa si wakupuuza, chamsingi ni wakisema ipo tuna chukua hatua za tahadhari mapema kuhakikisha haipo kweli,
Tuandamane au tufanyeje!! Mabeberu yanawajambisha Wachina,warusi, waajemi,wahindi sembuse sisi afrika akili ndogo ,,mkuu unajidanganya mchana kweupe tukubali hii dunia ni yao hivyo tushirikiane naoIkumbukwe harakati za wapigania uhuru wa Africa wakina kwame, lumumba, samora, kaunda, Mugabe na wengineo walipo jaribu kuinganisha Africa na kuifanya kuwa moja ma imperialist waliujumu juhudi zao wengi kuchochewa na kuuwawa wengine kuwekewa vikwazo.
Bado Africa ni kivuli cha masilai ya hao mabeberu ndio maana leo wanajichomeka ktk koti la demokrasia na haki za binadamu
Embu tujiulize nilini mabeberu wamekaa wakafuta ule mkataba wa kuligawa bara la Africa ulio fanyika kule Berlin? Mbona haikuwepo maliziano ya pamoja ya kuiacha Africa iwe uhuru kama ilivyo kuwa kuitawala
Wito wangu pale tunapo hona kiongozi anaonyesha uzalendo anachukia black imperialist monitoring to Africa tumsapoti tuache siasa.
Tusijifanye tunajua siasa kwenye democracy kuna siri kubwa imejificha ni kama simba yule aungulumae anae tafuta mtu ammeze.
Tazama leo Libya, Sudan na congo wanavyo haha
Tuweke masilai ya taifa mbele bado hatujajikomboa nguvu ya pamoja kama taifa ndio suluhu ya ukombozi wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app

mie sio daktari na siujui huo ugonjwa, nitasemaje upo au haupo?Jibu kwanza Ebola ipo Tanzania?
We mwimba kwaya ebu tupe mfano hali ilikuwaje kabla ya mabeberu kuleta chanjo,,Idadi ya wagonjwa wa polio ikoje ukilinganisha na awali!!!? Tumia akili yako kutoa maoni sio unaanza eti kama mwenyekiti alivyosema hapo mbeleHaya maneno ya Raisi Magufuli yana ukweli mwingi sana, na haya kuanza leo, nyerere alihujimiwa sana lakini alivumilia sana na tukipata shida sana.
Huko Somalia Siad Barre 1977, alishawishiwa na Jimmy Carter aivamie Ethopia, Urusi ilipo badilisha kambi kuwahama Somalia na kwenda kwa Mengistu Ethopia, na baadaye America wakamtelekeza Barre mpaka machafuko yakaanza somalia.
Waingereza walimshawishi Iddi Amin ampindue Obote hatimaye tuliona yaliyotokea, na wakamshawishi Nyerere aivamie Uganda, wakatutelekeza peke yetu, hadi uchumi wetu ukaharibika.
Leo hii wanatumia NGO na WHO kutudhibiti kwa kutumia chanjo za Polia na maradhi mengineyo, huku wachanganya dawa za kufunga uzazi, tuzizaane.
Kuna mengi yanafanywa tusiendele na wazidi kutudhibiti.
Mradi wa Steigle Gorge unapigwa vita, eti mazingira na utawateketeza wanyama, mbona mradi wa REINASENCE DAM wa Ethopia hawaupingi wala kuuzungumzia, kwa sababu wanaodhurika ni waafrika, na hakuna wanyama pori kwa starege zao, lakini Waafrika zaidi ya million 120 hakuna neno wakiteseka kukosa maji kwa maisha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo hasa la hotuba za kutaja mabeberu ni kama kujaribu kuficha mwenendo mbaya wa demokrasia hapa nchini. Anafahamu fika wazungu ndio wanaohoji uminywaji wa demokrasia hapa nchini, hivyo anawataja kwa ubaya ili kupumbaza wananchi hata hapo wazungu wakihoji huu udictator, aseme wanahoji kwakuwa kawazuia kuchukua rasilimali zetu.
Hatudanganyiki, hakuna mzungu anayekuja kuchukua rasilimali zetu bila kufuata sheria za nchi yetu, wazungu wote wanaochukua raslimali zetu wameingia mikataba na viongozi wetu. Tena viongozi wetu ikiwemo yeye mikataba hiyo huifanya kuwa ya siri. Kama kweli analinda raslimali zetu aweke mikataba wazi tuone inasemaje.
Kuna hujuma dhidi ya jitihada za Serikali zinazofanywa na baadhi ya wasioitakia mema Tanzania zikilenga kufifisha jitihada zetu za kujikomboa, kiuchumi kwa maslahi yao binafsi, kamwe hawataki kuona tunadhibiti rasilimali walizokuwa wakivuna na kusafirisha bila kuulizwa.
Wanaotuhujumu hawatakubali tutekeleze miradi ya kimapinduzi itakayoharakisha maendeleo, ikiwemo Bwawa la Nyerere, SGR au Kufufua Shirika la ATCL, wasingependa tutoe elimu bure n.k, wangependa tuendelee kuwategemea wao, ilihali wao wanaishi kwa kutegemea rasilimali zetu.
Wanatumia kila njia kufifisha jitihada zetu na kupenyeza ajenda zao,muda mwingine wanatumia Asasi za Kiraia na Mashirika yasiyo ya Kiserikali na kujifanya wanatufundisha Demokrasia na Haki za Binadamu, ilihali wenyewe wanavunja misingi hiyo kwa kujenga mifumo ya kinyonyaji.
Wanajifanya wanatufundisha Demokrasia ilihali wenyewe wanachochea machafuko na kuingilia uhuru wa Mataifa mengine, wanajenga hadi mazingira ya taharuki na kusema EBOLA imeingia Tanzania ili ionekane Nchi haiko salama, tusiposimama imara na kujenga uzalendo hatuwezi kushinda.
View attachment 1290479
Mamlaka ishasema haupo wewe ni nani ulazimishe upo?mie sio daktari na siujui huo ugonjwa, nitasemaje upo au haupo?
sasa kama wataalamu wamethibitisha haupo wewe unashadadia nini? jambo likizungumzwa linachunguzwa linapatiwa majibu then topic closed, kinachokufanya uzidi kuchokonoa ni nini, au nawewe una nia ovu?Mamlaka ishasema haupo wewe ni nani ulazimishe upo?