Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

Rais Magufuli: Wasiotutakia mema wanatumia Asasi za Kiraia na NGO kutuhujumu ili kufifisha jitihada zetu kujikomboa kiuchumi kwa maslahi yao binafsi

zebedayo musibha,
Ni kweli mku kwani wao wakitupa sapoti alafu ulaji wao uzibwe si watabaki wananing'inia? Mbinu chafu zipo tu ni kutafuta njia ya kuzikwepa.
 
Anatafuta "The Scapegoat" baada ya kuonekana uchumi unaenda kombo na fedha za kutekelezea hiyo miradi inaonekana haipo.

Inaonekana Tanzania inapoteza Special Drawing Rights Status kufuatia rekodi yake mbovu ya haki za binadamu.

Wakati mtu unakiuka haki za binadamu na ni wazi hauna plan B una A tu ambayo ni kutegemea wahisani/mabeberu ni wazi utakwama tu na hicho ndicho kilichoiponza Zimbabwe, Venezuela, Iran, North Korea nk na sisi sio exceptional, tukicheza tutaungana na hao jamaa very soon.

Tanzania haina uwezo wa ku-finance bajeti yake hata kwa nusu hali inayoiacha at the mercy of the donor countries ambao sharti lao kuu la kukusaidia ni kuwa na viwango vya juu vya rekodi ya haki za binadamu.

Kwani mkiheshimu demokrasia na haki za binadamu hamuwezi kuleta maendeleo..??? Nauliza tu make inaonekana wengine wanaamini hivyo sawa na wale wanaoamini kuwa huwezi kuwa tajiri hadi ufanyiwe uchawi. Very hopeless.
 
Madikteta wote duniani ndo huwa hivyo wakiona kuna dalili za kushindwa kitu huko mbeleni. Hapo anatafutwa mbuzi wa kafara. Mtu huwi mzalendo hadi umsifie jiwe?? Wasaafu wasiongee la sivyo wanawashwa washwa isipokuwa wanaomsifia tu
 
ugonjwa si wakupuuza, chamsingi ni wakisema ipo tuna chukua hatua za tahadhari mapema kuhakikisha haipo kweli,
Hivi mtu anayekupenda akikwambia Oya, Funga zipu ya suluali, Je huyo hakupendi? Unataka utembee barabarani uchi wa mnyama? ''The word to the wise man suffices"
 
Wakati huo huo, hawa anaoona wanamuhujumu, ndio hao hao wanaompa pesa ikiwemo mikopo ili atekeleza miradi anayoitumia kujitukuza!!
 
Kauli yangu huwa ni moja tu.

We are fighting for a better tomorrow.

Acha vyuma vikaze tu, maana tukisema tutafute kiongozi mzuri zaidi ya huyu napo kuna kujikuta tunaangukia pua tu, maana hupinzani hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu yakiambiwaga ukweli yanafura sana, demokrasia ni kichaka cha kujificha cha mabeberu kufanya unyonyaji na maslahi mengine kadha wa kadha kwa nchi zinazoendelea
 
Kulalamika hakutamsaidia yeye kaamua kupambana nao sasa asonge mbele atakaeshindwa anyooshe mkono japo mshindi anajulikana!!! Twende nao hivo hivo washashika kila nyanja hapa duniani
 
Ikumbukwe harakati za wapigania uhuru wa Africa wakina kwame, lumumba, samora, kaunda, Mugabe na wengineo walipo jaribu kuinganisha Africa na kuifanya kuwa moja ma imperialist waliujumu juhudi zao wengi kuchochewa na kuuwawa wengine kuwekewa vikwazo.

Bado Africa ni kivuli cha masilai ya hao mabeberu ndio maana leo wanajichomeka ktk koti la demokrasia na haki za binadamu

Embu tujiulize nilini mabeberu wamekaa wakafuta ule mkataba wa kuligawa bara la Africa ulio fanyika kule Berlin? Mbona haikuwepo maliziano ya pamoja ya kuiacha Africa iwe uhuru kama ilivyo kuwa kuitawala

Wito wangu pale tunapo hona kiongozi anaonyesha uzalendo anachukia black imperialist monitoring to Africa tumsapoti tuache siasa.

Tusijifanye tunajua siasa kwenye democracy kuna siri kubwa imejificha ni kama simba yule aungulumae anae tafuta mtu ammeze.

Tazama leo Libya, Sudan na congo wanavyo haha
Tuweke masilai ya taifa mbele bado hatujajikomboa nguvu ya pamoja kama taifa ndio suluhu ya ukombozi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuandamane au tufanyeje!! Mabeberu yanawajambisha Wachina,warusi, waajemi,wahindi sembuse sisi afrika akili ndogo ,,mkuu unajidanganya mchana kweupe tukubali hii dunia ni yao hivyo tushirikiane nao
 
Ikumbukwe harakati za wapigania uhuru wa Africa wakina kwame, lumumba, samora, kaunda, Mugabe na wengineo walipo jaribu kuinganisha Africa na kuifanya kuwa moja ma imperialist waliujumu juhudi zao wengi kuchochewa na kuuwawa wengine kuwekewa vikwazo.

Bado Africa ni kivuli cha masilai ya hao mabeberu ndio maana leo wanajichomeka ktk koti la demokrasia na haki za binadamu

Embu tujiulize nilini mabeberu wamekaa wakafuta ule mkataba wa kuligawa bara la Africa ulio fanyika kule Berlin? Mbona haikuwepo maliziano ya pamoja ya kuiacha Africa iwe uhuru kama ilivyo kuwa kuitawala

Wito wangu pale tunapo hona kiongozi anaonyesha uzalendo anachukia black imperialist monitoring to Africa tumsapoti tuache siasa.

Tusijifanye tunajua siasa kwenye democracy kuna siri kubwa imejificha ni kama simba yule aungulumae anae tafuta mtu ammeze.

Tazama leo Libya, Sudan na congo wanavyo haha
Tuweke masilai ya taifa mbele bado hatujajikomboa nguvu ya pamoja kama taifa ndio suluhu ya ukombozi wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuandamane au tufanyeje!! Mabeberu yanawajambisha Wachina,warusi, waajemi,wahindi sembuse sisi afrika akili ndogo ,,mkuu unajidanganya mchana kweupe tukubali hii dunia ni yao hivyo tushirikiane nao
 
Haya maneno ya Raisi Magufuli yana ukweli mwingi sana, na haya kuanza leo, nyerere alihujimiwa sana lakini alivumilia sana na tukipata shida sana.

Huko Somalia Siad Barre 1977, alishawishiwa na Jimmy Carter aivamie Ethopia, Urusi ilipo badilisha kambi kuwahama Somalia na kwenda kwa Mengistu Ethopia, na baadaye America wakamtelekeza Barre mpaka machafuko yakaanza somalia.

Waingereza walimshawishi Iddi Amin ampindue Obote hatimaye tuliona yaliyotokea, na wakamshawishi Nyerere aivamie Uganda, wakatutelekeza peke yetu, hadi uchumi wetu ukaharibika.

Leo hii wanatumia NGO na WHO kutudhibiti kwa kutumia chanjo za Polia na maradhi mengineyo, huku wachanganya dawa za kufunga uzazi, tuzizaane.

Kuna mengi yanafanywa tusiendele na wazidi kutudhibiti.

Mradi wa Steigle Gorge unapigwa vita, eti mazingira na utawateketeza wanyama, mbona mradi wa REINASENCE DAM wa Ethopia hawaupingi wala kuuzungumzia, kwa sababu wanaodhurika ni waafrika, na hakuna wanyama pori kwa starege zao, lakini Waafrika zaidi ya million 120 hakuna neno wakiteseka kukosa maji kwa maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwimba kwaya ebu tupe mfano hali ilikuwaje kabla ya mabeberu kuleta chanjo,,Idadi ya wagonjwa wa polio ikoje ukilinganisha na awali!!!? Tumia akili yako kutoa maoni sio unaanza eti kama mwenyekiti alivyosema hapo mbele
 
Na bahati mbaya mxungu hatishwi
Lengo hasa la hotuba za kutaja mabeberu ni kama kujaribu kuficha mwenendo mbaya wa demokrasia hapa nchini. Anafahamu fika wazungu ndio wanaohoji uminywaji wa demokrasia hapa nchini, hivyo anawataja kwa ubaya ili kupumbaza wananchi hata hapo wazungu wakihoji huu udictator, aseme wanahoji kwakuwa kawazuia kuchukua rasilimali zetu.

Hatudanganyiki, hakuna mzungu anayekuja kuchukua rasilimali zetu bila kufuata sheria za nchi yetu, wazungu wote wanaochukua raslimali zetu wameingia mikataba na viongozi wetu. Tena viongozi wetu ikiwemo yeye mikataba hiyo huifanya kuwa ya siri. Kama kweli analinda raslimali zetu aweke mikataba wazi tuone inasemaje.
 
Kuna hujuma dhidi ya jitihada za Serikali zinazofanywa na baadhi ya wasioitakia mema Tanzania zikilenga kufifisha jitihada zetu za kujikomboa, kiuchumi kwa maslahi yao binafsi, kamwe hawataki kuona tunadhibiti rasilimali walizokuwa wakivuna na kusafirisha bila kuulizwa.

Wanaotuhujumu hawatakubali tutekeleze miradi ya kimapinduzi itakayoharakisha maendeleo, ikiwemo Bwawa la Nyerere, SGR au Kufufua Shirika la ATCL, wasingependa tutoe elimu bure n.k, wangependa tuendelee kuwategemea wao, ilihali wao wanaishi kwa kutegemea rasilimali zetu.

Wanatumia kila njia kufifisha jitihada zetu na kupenyeza ajenda zao,muda mwingine wanatumia Asasi za Kiraia na Mashirika yasiyo ya Kiserikali na kujifanya wanatufundisha Demokrasia na Haki za Binadamu, ilihali wenyewe wanavunja misingi hiyo kwa kujenga mifumo ya kinyonyaji.

Wanajifanya wanatufundisha Demokrasia ilihali wenyewe wanachochea machafuko na kuingilia uhuru wa Mataifa mengine, wanajenga hadi mazingira ya taharuki na kusema EBOLA imeingia Tanzania ili ionekane Nchi haiko salama, tusiposimama imara na kujenga uzalendo hatuwezi kushinda.

View attachment 1290479

Kimoja hapa si cha kweli hakuna uhusiano mbaya wa demokrasia na maendeleo. Nchi nyingi zina demokrasia na maendeleo. Kama kuna mbinu za kuaminisha Watanzania eti tusiwe na demokrasia kwa kisingizio cha maendeleo Watanzania si wajinga hivyo na haitafanikiwa. Tujue kama Nyerere alishidwa na kuamua yaishe na kungatuka sio hivyo tu na kuwa mpiganaji wa kwanza wa nyama vingi nchini! Huwezi kuja sasa kwa sababu zako ukadanganya Watanzania. Wanaweza kulazimisha na kupora lakini mioyo ya Watanzania wengi wanapenda demokrasia na ni utamaduni wao sio China au Rwanda hii.
 
Mamlaka ishasema haupo wewe ni nani ulazimishe upo?
sasa kama wataalamu wamethibitisha haupo wewe unashadadia nini? jambo likizungumzwa linachunguzwa linapatiwa majibu then topic closed, kinachokufanya uzidi kuchokonoa ni nini, au nawewe una nia ovu?
 
Watawala Wa kiafrika wakifikia ukomo Wa kushindwa kuwaletea maendeleo watu wao usingizia mabeberu,hivi mtu aliyekuacha nyuma miaka 300 akuonee wivu iweje,SGR wanazo toka miaka ya 50 na washatoka huko wako kwenye technology ya hyperlooper transportation ndio watuonee wivu tusiokuwa na uwezo Wa kujenga hata vyoo vya shule.Wenzetu wamewatumia mabeberu wako mbali,hakuna taifa lililowahi shirikiana na mabeberu likawa fukara.Watawala Wa kiafrica wanawananga mabeberu sababu ni kikwazo kwao kung'ang'ania madaraka hivo utumia mnango huo ili kupata sapoti toka kwa wajinga.Nyerere aliwananga na kuwaponda sana mabeberu lkn akipewa misaada akatai,alipotakiwa kupinduliwa aliomba msaada kwa mabeberu alipopigwa njaa akaomba msaada kwa mabeberu wakampa maindi ya njano na maziwa.Watawala Wa kiafrica kuwaamini yatakiwa uwe umelewa.Watawala wa kiafrica ndio chanzo cha ufukara wa waafrica,jiulize mbona wakoloni waliwezawaletea maendeleo Waafrika wao wameshindwa nini kwa mazingira hayohayo maana mkoloni alirudi kwao na begi na akili yake tu kila kitu aliacha Africa.Kwann nchi zisizo za kiafrica tulizokuwa nazo sawa kimaendeleo Leo ziko dunia ya pili.
 
Back
Top Bottom