Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maambukizi yanaanzia mbali sana..kuanzia kwa Dr,nesi,mochwari,waombolezajiPia watu waliokufa kwa Corona wanazikana hovyo na kuongeza maambukizi mara dufu!
Kwahiyo mmeridhika, hadi muambiwe mvae barakoa ndio mfurahi. Vaeni sasa baba yenu kasema
Maana yake serekali ilipaswa iwe imetoa miongozo kadhaa kuhusiana na kadhia hii ya Corona pamoja na kuisimamia kwa nguvu zote ila wao wanachofanya sasa hivi ni kuziponda barakoa,kuiponda social distancing na kuweka msisitizo katika maombi(Soma paragraph ya 5 katika waraka wao hapo juu).Yaani Tanzania imekuwa ni Taifa la maruwani linaloongozwa na viongozi maruwani!Maambukizi yanaanzia mbali sana..kuanzia kwa Dr,nesi,mochwari,waombolezaji
Sasa Kwa hali hii itakuaje?
Hivi Mwalimu Nyerere alishapanda madhabahuni ST. Peters kutoa hotuba au popote kanisa KatolikiAmeyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno.
View attachment 1708018
View attachment 1708019
View attachment 1708017
Mungu mwenyewe kwenye maandiko anakanya upumbavu na kukosa akili.akisisitiza binadamu atumie maarifa na ufahamu.Maana yake serekali ilipaswa iwe imetoa miongozo kadhaa kuhusiana na kadhia hii ya Corona pamoja na kuisimamia kwa nguvu zote ila wao wanachofanya sasa hivi ni kuziponda barakoa,kuiponda social distancing na kuweka msisitizo katika maombi(Paragraph ya 5 katika waraka wao hapo juu).Yaani Tanzania imekuwa ni Taifa la maruwani linaloongozwa na viongozi maruwani!
Ngoja tuwaulize akina Mzee Warioba na Mzee Butiku manake huyu balaa kwa makameraHivi Mwalimu Nyerere alishapanda madhabahuni ST. Peters kutoa hotuba au popote kanisa Katoliki
Mkuu, nimesikiliza clip alichosema tofauti na kilichoandikwa naomba nenda kasikilize. Amewasifu wale ambao hawajavaa barakoa na kuwasifu waziri mkuu na makamu wa rais kutovaa barakoa kwa kuwa wanamuamini Mungu.He is now coming to his sense.
Alikuwa anawasifia watu wasipovaa barakoa sasa akili inaanza kumrudia.
Alisema corona haipo sasa akili inamrudia kuwa huu msala upo na hauna utani.
Hivi Mwalimu Nyerere alishapanda madhabahuni ST. Peters kutoa hotuba au popote kanisa Katoliki
Nimesikia alichoongea kwa kweli ni bora hata akalie kimya jambo hili watu wajiamulie wenyewe ila ni hotuba fulani imekosa uwajibikaji. unapo ongea jambo kubwa kama hili ni vizuri lika base katika facts sio personal opinion.Yeye kama kiongozi anatakiwa awe mfano kwa anaowaongoza kwa kuvaa barakoa ili kuonesha msisitizo.
Namshauri na yeye avae......huwezi kuleta kiburi kwenye Corona otherwise itamng'oa.