Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

Ha ha ha Mungu yupi Mkuu, Kwani Tanzania wote ni dini moja, ebu nenda taratibu.

Pia kuna viongozi wengine duniani hawawekwi na Mungu au huyu wetu tu.
 
Kiasi gani unaelewa ukubwa wa maambukizo ya korona nchini na jinsi unavyoambukizwa zaidi yaliyosemwa na Rais?

Unayoyajua wewe jielekeze mwenyewe na wale unawaowapenda na kuwasisitizia wadharau ya Rais na Serikali yake
 
Haya sasa waliokua wanasubiri tamko ndio wajikinge watafute sababu nyingine ya kuwafanya wasijikinge.
Hilo unaweza kulitofautisha na pigeni nyungu? Ni yaleyale kodi kwa ubabe bila kulinda walipaji,nani anapima watu na wanaokufa wanazikwaje?
 
Aliyekuambia maelfu ya watu wanaokufa walikuwa hawali vizuri au walikuwa hawafanyi mazoezi ni nani? Namna sahihi ya kupambana na hivi virusi ni kuzuia maambukizi sababu maradhi yake hayana tiba rasmi, Magufuri amekuwa kinara wa kupinga hatua zote za kuzuia maambukizi huku akihubiri tiba za kujifukiza.

Ameonywa na uongozi wa WHO, Ameonywa na ofisi za barozi mbalimbali, ameonywa na watanzania wengi sana lakini hakusikia, ameona dodoma kumechafuka kakimbilia dar es salaam, na hapo alipo utakuta anafikiria kukimbilia chato huku akiacha watu wanaambukizana kwa visingio vya serikali haina hela ya kulisha yetu, yaani yeye anaona hela ni muhimu kuliko uhai
 
Kwahiyo mmeridhika, hadi muambiwe mvae barakoa ndio mfurahi. Vaeni sasa baba yenu kasema
Ukisema hivyo unawasuta viongozi wa serikali, hataivyo nadhani wamekusikia na wamemsikia pengine kuanzia kesho tutaanza kuona wakivaa barakoa baada ya kuruhusiwa
 
Kiasi gani unaelewa ukubwa wa maambukizo ya korona nchini na jinsi unavyoambukizwa zaidi yaliyosemwa na Rais?

Unayoyajua wewe jielekeze mwenyewe na wale unawaowapenda na kuwasisitizia wadharau ya Rais na Serikali yake
Lakini hiyo serikali ya rais inalipwa kodi na wanaidai kwa mitutu na kupewa kesi halafu nguvu kama hiyo haipo kwa corona?
 
Ni haki yako kuwa na mawazo kama hayo.

Rais katika hotuba yake, kwa lugha rahisi, ameeleza matumizi ya barakoa na madhara yake. Akatoa mifano ya nchi ambazo kuvaa barakoa ni sheria bado maambukizi yapo na wanakufa kwa wingi. Wataalam wa afya pia wanatoa angalizo la matumizi ya barakoa.

Hata vile amemwachia kila mtu kufanya uamuzi. Nawe rukhusa kufanya unaloona litakupitisha salama kwenye janga hili mradi huwi mmoja wa watakao ambukizwa au kuambukiza kwa sababu ya ujuaji na/au ujeuri
 
Jibu maswali yangu mzee baba.Hapa huwa tunabishana kwa hoja tu.Narudia tena swali langu,yeye huo ufanisi ameupimaje?
Lockdown na social distancing imesaidia huko Italia? Umezoea kukariri makatuni.
 
Mwaka jana wakati majirani wote wamefunga mipaka yao, na dunia nzima ukisitisha usafiri wa anga hivyo kupunguza kama sio kuondoa kabisa maambukizi kati ya mataifa na mataifa, waziri mkuu majariwa alichukua pro active actions na kutoa maelekezo ambayo yalisaidia sana kuzua maambukizi nchini.

mwaka huu, mipaka yote iko wazi, yeye anasema mara corona haipo, mara Mungu kaiondoa huku vibaraka wake wakidai magufuri aliishinda corona.

sasa ni wazi maambukizi ni makubwa Tanzania kuliko maeneo mengi sana Africa. lakini mpaka kafariki swaiba wake ndo anashtuka.
 
Wapumbavu ni wengi. Na wewe ni mmoja wapo. Imesaidia sana sana. Ila kwa sababu hujui kiingereza kama baba yako huweza kusoma na kuelewa.
Numbe of fatalities caused by covid 19 in Italy? Kenya? Though lockdown and social distance measures were implemented.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…