Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kaongo kaongooo tu..kanajaribu kuzuga et hii ni vita ya uchumi , lkn sijazuia kuvaa barakoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutamani vifo vya wenzako. Ukoje wewe?Leo ni siku ya maajabu Sana mpaka mida hii hakuna tangazo la TANZIA?? maana sikuhizi kila baada ya dk 20 tunapokea tangazo la Kifo
Haya maneno uliyotumia yanaweza kukugharimu. Futa hii post tafadhali.Magu ni kilaza,Period!
Ingependeza Rais angeonyesha mfano kwa kuvaa barakoa.Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno.
View attachment 1708018
View attachment 1708019
View attachment 1708017
itanetegemea msimamo wake unasaidia au unaangamiza. kuna misimamo mingine haikupo faida yoyoye badala yake inakuangamizaNa ndivyo kiongozi anavyopaswa kuwa!
Inakuuma nini?Hivi Marais wote walikuwa kila ibada (Waislamu na wakristo) lazima kurugenzi ya mawasiliano itoe tamko na mapicha?!
WHO walitangaza maongezeko ya maakambuzi ya korona, kesho yake magufuri akajitokeza hadharani na kumpongeza mgeni toka china kwa kutokuvaa barakoa na kudai korona haipo Tanzania.Kwahiyo hiyo miongozo haifuatwi?
Ana stress.Kwa taratibu naona kama Mh Rais afya yake sio njema sana. Kama amechoka sana, uzee wa ghafla na hata ngozi imechakaa
Binafsi huwa namshangaa sana mtu anayemsifia huyu baba, Kinamna fulani ameendelea kuziponda barakoa na ameendelea kushikilia msimamo wake wa yeye na wasaidizi wake kutokuvaa.Mkuu, nimesikiliza clip alichosema tofauti na kilichoandikwa naomba nenda kasikilize. Amewasifu wale ambao hawajavaa barakoa na kuwasifu waziri mkuu na makamu wa rais kutovaa barakoa kwa kuwa wanamuamini Mungu.
Amesema barakoa sawa ila tununue za hapa na kushonesha lakini walizozileta hizo barakoa anazosema kila leo zina corona ziliingia vipi nchini na madukani?
Hotuba ukiisikia kwa kweli ni ya kebehi kwa ugonjwa na wavaa barakoa. Naomba kamsikilize mwenyewe m, iko YouTube ni hotuba fulani hujui anataka kusema nini anaacha watu grey zone, hakuna message moja anauma na kupuliza. Inasikitisha kiongozi kuongea vile.
Kuna sehemu kasema “Hawa wasaidizi wangu hawajavaa barakoa na mimi sijavaa, kwani siogopi kifo? Wala sijui wamekutana na nani lakini naamini Mungu. Nchi nyingi waliovaa barakoa ndio wamekufa maelfu.” Sasa ni ujumbe gani kapeleka?
Hiyo statement wame soft baadhi ya maneno, kamsilize mwenyewe halafu uta comment.
Hata Congo Kuna wakati wanafanikiwa na kuimaliza Ebola na kutangaza kuisha kwa Ebola,na huwa hivyo kweli kabisa.kuna wakati pia huwa inarudi na kuanza kuenea upya.Kwa Tanzania nn Cha ajabu ambacho huelewi!!?? Korona ilikuwepo siku za mwanzo ikadhibitiwa na amini hata ww unalijua,ikaisha..Sasa ukitaka tuendelee kuwaambia watu ipo wakati ilikwisha!!? imeingia kwa Mara nyingine mnaambiwa take self prequation then mnachallenge.shida ya wabongo mmezoea umaarufu wa njaa,magonjwa,ufisadi n.k haya yaki persist mnajisikia burudaaaaniiii na umaarufu kuongelewa katika haya. Mkiongeleshwa Mambo Kama uchumi wa Kati,pigeni kazi hamna kujifungia..mnapata shida kweli kwa brain zenu kuelewa vitu vya msingi.Viongozi wa nchi hii, hasa Rais mwenyewe, wanaongoza kutuchanganya wananchi sana. Hatujui wanalipeleka wapi taifa. Hawa watu sijui vipi.
● Mwezi mzima wanaropoka "NCHI HII HAINA CORONA", na wana aminisha raia kwa kutokuvaa barakoa wala kuzingatia mita moja ya kujiepusha katika mikusanyiko yao, wengine walifikia hatua ya kuvua wenzao barakoa kwa nguvu kisa mamlaka.
● Viongozi wengine walienda mbele zaidi na kusema ni "SHULE YA ISM MOSHI KUTANGAZA INA WANAFUNZI WAWILI WAMEKUTWA NA CORONA NI YA UONGO, HIO NI VITA YA KIUCHUMI".
● Wengine kama Makamu Mkuu Wa Chuo Cha Open University baada ya kutoa wito kwa wanafunzi kujihadhari na kuchukua hatua stahiki kujilinda na Corona, aliamrishwa na Wizara Ya Elimu "AOMBE RADHI KWA KUTOA WITO ULE", zaidi ya yote Mkuu wa chuo nae akamruka hatua 100 na kusema sio wito wa chuo, ni wito wake yeye binafsi.
● Leo Wizara ya Afya inaomba wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona, kwa kunawa na maji tiririka na kuvaa barakoa. Wakati wao ndio walikua vinara kupinga kuwepo kwa Corona nchini, licha ya wananchi kupiga kelele kwa kupoteza wapendwa wao.
● Sasa tunasikia mkuu wa nchi akitoa wito wa "MAOMBI SIKU TATU YA KUMWOMBA MUNGU KWAAJILI YA KULIOMBEA TAIFA".
"MUNGU GANI ATAKAESIKIA MAOMBI YA TAIFA LENYE VIONGOZI WASIO WAKWELI NA WANAFIKI???? SI VIONGOZI WA DINI WALA WA NCHI" Kuomba huko ni sawa na maombi yaliofanywa na watu wa Sodoma Na Gomora baada ya ahadi ya adhabu ya mungu kuwafika, saa ilipofika ilifika, milango ya maombi na dua ilifungwa, na adhabu haikuchagua watoto wala wazee.
Rais Maguful katika Misa takatifu Kasema yeye hajazuia barakoa, anajua mengi maana ye ndo kiongozi wetu, na hajazuia barakoa Kama inavyosemwa,
Unajua shida kisa alisema mwezi december kuwa hakuna Corona bado unataka kujiaminisha kuwa mpaka sasa ataamini hivo..!! Embu cheza na nyakati kipindi anasema hakuna Corona Tanzania kipondi waziri wa mambo ya nje uchina akiwa hapa..! Zimepita siku ngapi mpaka leo? Umeulizwa leo kwenu kuna msiba ukasema hapana baada ya siku mbili msiba unatokea utapaswa kusema hupoTiyari ameanza kukubali taratibu, nilivyokuwa nasikia namna anavyozungumza Majaliwa kwenye Msiba wa Balozi kijazi nikajua kabisa anasafisha njia kwa Jiwe kukubali Corona ipo nchini na watu wanapaswa kuchukua taadhari
Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili
Akisema msivae barakoa KAONGEA VIZURI akisema VAENI BARAKOA kaongea vizuri.
Enyi vifwata upepo kesho mtakosa mwelekeo.
Yaani umesema kweli.kabisa .Mara barakoa za kutoka nje kwani zinapitia wapi je mamlaka zetu kama TBS nk wanafanya nini mpaka hizo barakoa zinaletwa.Mwananchi hata mmoja uhai wake ni wadhamani sana ebu atuambie Taifa limejiandaaje na haya maambukizi ,hospital zina vifaa vya kutosha ,yeye anapataje mrejesho kitoka.ka wataalam.Barakoa ngapi zimezalishwa.Yaani utafikiria katumwa na waganga wa kienjeji sijui miti shambaBinafsi huwa namshangaa sana mtu anayemsifia huyu baba, Kinamna fulani ameendelea kuziponda barakoa na ameendelea kushikilia msimamo wake wa yeye na wasaidizi wake kutokuvaa.
Lakini nimeamini serikali zetu za kiafrika hazithamini uhai wa watu wake, kumekuwa na kauli nyingi sana za kulinganisha vifo vilivyotokea kwa wenzetu na hapa kwetu, hii ni tabia ya ajabu kujifariji kwa matatizo ya wenzako kwa kudhani wewe una unafuu, kwanza population ya wenzetu ni kubwa, pia maambukizi yalianzia kule, pia maambukizi ya mwanzo kule yalikuwa makali hivyo ni obvious kule kungekuwa na vifo vingi kuliko huku, kudhani sisi tumependelewa huko ni kujitoa akili. Lakini pia uhai wa mtu hata mmoja unathamani sana, sio kusema sisi wamekufa watu wachache as if hao watu wachache sio kitu, tungechukua tahadhari zote zinazokubalika katika mazingira yetu, then vifo vilivyotokea ingekuwa sahihi kusema viko nje ya uwezo wetu. Hivi ndivyo serikali yoyote au mtu yeyote ambaye ni "responsible" angetakiwa kuwa.
Na hapo matamko yanakuja baada ya korona kupiga ikulu, kwa maana hiyo sisi the common mwananchi tungeendelea kufa hakuna kiongozi angejali na zaidi wangeendelea kuficha tatizo, huyu asingefiwa na swahiba wake wala asingejitokeza kukiri hata haya machache aliyoyapaka rangi. Yawezekana mabeberu hawatupendi kama asemavyo Rais, lakini napata wasiwasi kama yeye anatupenda!
Tumeshindwa kumaliza kipindupindu halafu tuiweze Corona...!!Hata Congo Kuna wakati wanafanikiwa na kuimaliza Ebola na kutangaza kuisha kwa Ebola,na huwa hivyo kweli kabisa.kuna wakati pia huwa inarudi na kuanza kuenea upya.Kwa Tanzania nn Cha ajabu ambacho huelewi!!?? Korona ilikuwepo siku za mwanzo ikadhibitiwa na amini hata ww unalijua,ikaisha..Sasa ukitaka tuendelee kuwaambia watu ipo wakati ilikwisha!!? imeingia kwa Mara nyingine mnaambiwa take self prequation then mnachallenge.shida ya wabongo mmezoea umaarufu wa njaa,magonjwa,ufisadi n.k haya yaki persist mnajisikia burudaaaaniiii na umaarufu kuongelewa katika haya. Mkiongeleshwa Mambo Kama uchumi wa Kati,pigeni kazi hamna kujifungia..mnapata shida kweli kwa brain zenu kuelewa vitu vya msingi.
NB.ni heri uibiwe Mali kuliko uibiwe ubongo.
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app