Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Rais Magufuli si mtu wa anasa tumpongeze kwa hili
Kweli kabisa maana kukaa Ikulu sijui Dar Es Salaam au Dodoma ni anasa sana.Sioni aje ya Mh.Rais kutimiza majukum yake nje na nyumbani kwake ....kwenda Ikulu ni anasa kubwa.
 
Reactions: Cyb
ww fala unajua ikulu imewekwa kwa sababu gani pale si nyunbani kwa rais ni ofisini je unaweza kukaa nje ya ofisi mdamrefu ivyo ??Acha kufikiria karibu kama ikulu ingekuwa haina maana zisingekuepo wangeongoza toka nyumbani kwaanzia nyerere angeongoza akiwa butiama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwani huko Chato anafanya nini? Kwamba huko ndo ilipo Ikulu, yupo kwa ziara ya kikazi au yupo yupo tu?
Wote walioapishiwa Chato ...wameapishwa vichochoroni, kiapo chao sio Rasmi ......kama kulikuwa na ulazima wa kuapisha akiwa mafichoni , angeenda kwenye ikulu ndogo ,Geita .
 
hilo neno ktk sentensi ya mwisho sio sahihi kuambiwa kiongozi wa nchi mkuu
 
Hivi kila mtu akifanyia kazi nyumbani kwake itakuwa na impact gani ?

Anyway kwa kuunga mkono kauli ya rais katika kipindi hiki cha korona kila mtumishi arudi huko ambako atazikiwa kwa mujibu wa Magufuli akafanyie kazi huko itakuwa sawa?

Je ilikuwa sahihi rais kumuapishia waziri kibarazani Kwake ?

Je watumishi wote wa umma wakifanyia kazi vibarazani mwao kama alivyofanya rais jana ni sahihi ?

Tujaribu kupima haya mambo kwa uzito wake siyo kutetea hata utoto.

Rais kakimbia ofisi fullstop.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

arudi kazini basi na yeye asilipwe mshahara mana hayupo kazini. au kila mtu akakae alipozaliwa afanye kazi akitokea huko.
 
Duuuu! Hiyo kauli ya mwisho hapo
 
Ofisi ya Reis wa JMT ipo Magogoni Dar na Chamwino Dodoma asijitoe ufahamu.Aseme tu ,I am working from home
 
Na ofisi amekimbia Sasa anatetea kufanyia kazi za nchi sebureni kwake
 
Na wabunge wa Chadema wameamua kwenda kwao mbona mnawanyima posho
Mkuu bila kuwa na phD ya ujinga na upumbavu ni ngumu kumuuelewa Magu.wanaccm wanamuelewa vizuri sana ndo maana unaona akina Bia Yetu wanajivunia kuwa nae
 
moja awe muwazi aseme, he is working from home na atoe sababu why he's working from home.mbili mazingira ya ofisini ni more effective than working from home,ndo maana kila mtu anaenda kuchapa kazi ofisini kwake and not sebuleni.Tatu Kama mazingira ya Dar na Dodoma ni hatarishi aseme na siyo yeye ajifungie harafu asukumie wengine ndo wakafe
 
Wanaotaka Rais atoke Chato ni hao wanaoagizana kujifungia ndani. Imekula kwao
Mkuu actions speak thousands of words.Chadema wameamua kufanya kile rais anachofanya kwa matendo na si kwa mdomo.Sasa wewe Kama unataka kufata maneno yake fata sisi tutawafukia tu maana hatutakuwa na namna nyingine
 
Ukitaka kuishi maisha ya kiutofauti katika nchi hii achana na siasa kabisa.

Kuachana na siasa inamaanisha hata kufutilia habari zake uache. Mambo ya siasa ni magumu sana afu ni mabaya yana tia hasira.

Leo unamnyima mtoto kuvuta sigara ili hali wewe unavuta,unakata watu kupiga ramli wakati wewe mwenyewe ni mpiga ramli. Sidhani kama utakua unamaanisha

Je ikulu iko Chato kwa sasa?
Kama umezaliwa Chato na utafia Chato vip na wabunge wakirudi majimboni walikozaliwa ili wakifia huko wazikwe huko mana ni kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…