#COVID19 Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

#COVID19 Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

Inasadikika Nchini Israel wameweza kutengeneza Antibody ambazo zitaifanya miili yetu na immune system ziweze kutambua Coronavirus na kuiua na pia hiyo antibody itabaki mwilimi kama kinga ya coronavirus
 
Mliotukebehi tuliomuunga mkono Rais aibu yenu😛
 
Magufuli alipokuja na namna sahihi ya kupambana na gonjwa la uviko 19 alibezwa mpaka na baadhi ya watanzania wenzetu.

Wakasema ni rais asiyeamini science.

Ila leo dunia inaanza kufata njia zake.

Uingereza imefungua njia na wengine watafata.

Rip Magufuli.
 
Ndugu zangu

kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu

Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na machafu tumeifanya dunia uwanja wa vita ushoga mauaji na ufedhuli mwingi, hili janga la corona ilibidi lazima lije tumemsahau sana Mungu katika matendo yetu na shetani amekuwa ni rafiki yetu na sasa shetani kama kawaida yake ametuacha na tunazidi kupotoka kwa kuendeleza mambo yasiompendeza Mungu

Baada ya Rais Magufuli kusema tumrudie Mungu atusaidie kwa hili janga la corona watu wengi walimkejeli sana, ila kiukweli alikuwa sahihi iwe kwa lock down isiwe kwa lock down corona itaendelea na ingeendelea kututesa sana, sababu corona haijaletwa na mchina wala mmarekani wala popo isipokuwa ni adhabu kutoka kwa Mungu kwa sababu ya matendo yetu, wanasayansi waendelee kukesha maabara kutafuta dawa ila wasisahau dawa ya corona ni sisi binadamu kumrudia Mungu

Tulipoombwa na Rais tufanye maombi watu walibeza ndo hao hao sasa corona imetamalaki wanapiga kelele wakati siku za maombi walikuwa juu ya vinena vya malaya!! mtu anafikia hadi kusema dini haina umuhimu kwa sababu haijatusaidia kuondoa corona, corona iondoke hali ya kuwa mmeasi??subirini ya Nabii Nuhu na Luti yatufike ndo mtajua hamjui

Na nyie mnaoenda mbali zaidi na kusema Mungu hakuna, mkishikwa na haja mbona mnaenda vyooni kuchutama, mnachutama for what?????gomeni basi na kuchutama kama nyie ni vidume kweli!!! ndo nyie mmesababisha kutuletea corona, kwani kawaida ya Mungu kosa la mtu mmoja anaweza akaleta janga katika jamii nzima Kiranga aretasludovick Retired Father of all Snipers The only nusuhela na wafuasi wenu wote mnaopotosha watu ni mda wenu wa kutubu ile saa imekaribia TUKIENDELEA KUMBEZA NA KUMDHIHAKI MUNGU CORONA ITAENDELEA KUTUTAFUNA

View attachment 1435930

Dawa ya corona ni kuendelea kuomba sana wote kwa umoja Mungu atatusamehe na kutuonyesha njia sahihi ya kukabiliana na haya maradhi na tena tuombe majumbani kwetu tuepuke mikusanyiko isiyo na lazima,
Sio kweli!
... alichofanya Magufuli ni kuchagua 'the worst alternative' ya ku'deal' na Korona!
... sio kwamba hao aliowaita mabeberu hawakuwa wanajua kuna 'alternative' hiyo, NO, ila wamekuwa wakijaribu njia zingine rafiki zaidi kwa binaadam na kumuacha Jiwe na raia wake wafanyie majaribio 'alternative' hiyo ya kikatili zaidi!
... Neno 'HERD IMMUNITY' ni la kizirankende?

1642680946801.png
 
Tunatoa marks za kazi ya mtu kwa njia aliyotumia kufikia jibu:
1) Watu wasipimwe Korona (ZERO)
2) Kupima sampuli za pawpaw, fenesi, mbuzi na engine oil (ZERO)
... si ajabu sampuli hizo zikawa na kemikali inayoashiria Korona nyingi kupita hata kwenye majimaji ya mgonjwa mahututi wa Korona! [emoji28]
3) Kumtimua Ndugulile msemakweli (ZERO)
4) Kutupeleka kwa Gwajiboy (ZERO)
5) Kutazamia jibu halafu kujifanya lakwako, PLAGIARISM! (ZERO)
... ubishi wa njia za ku'deal' na Korona Marekani ndio kwao na mpaka leo kuna wabishi wa kutosha, pamoja na vifo vingi vilivyowakumba!

NB: In the alternative world where COVID-19 is as lethal as it was once predicted, Tanzania could have been it's killing fields!
Nimepoteza ndugu zangu pia kwa ajili ya uzembe na ukatili wa Jiwe na majaribio yake kwa binaadam!
THIS MASS MURDERER YOU CALL A HERO! ... NO, HE'S A HORROR!
Ushawahi ona UKIMWI unapatikana kwenye papai, au Malaria?
So how CORONA ipatikane kwenye papai? Hiyo may be was a trick pandemic nk.
KIKUBWA ukisha sema tumuombe Mungu basi umefaulu katika yote.
Mungu ndiye aliyetulinda ndugu, Magufuli aliithibitisha imani dhini ya giza ninaloliona kwako na dunia nzima. Mungu alitutetea. Next time katika situation kama hizi Tumuombe Mungu, sio kila kitu science tu.

Somebody tried to Argue about God[emoji3][emoji3], you know what was the answer?..
Here it is...
If man's brain is formed by many tissues and is formed by different chemical materials, how can you trust your Arguing ability on these huge matters about God? Simple and clear[emoji3]
 
Hapa ndo sehemu nilipokubaliana na magufuli kwenye misimamo Yake.
Bideni licha ya kuwa na kila Aina ya chanjo lakini bado anataka kutoa barakoa milioni 400 zenye ubora wa juu kwa Wana nchi wake
 
Ushawahi ona UKIMWI unapatikana kwenye papai, au Malaria?
So how CORONA ipatikane kwenye papai? Hiyo may be was a trick pandemic nk.
KIKUBWA ukisha sema tumuombe Mungu basi umefaulu katika yote.
Mungu ndiye aliyetulinda ndugu, Magufuli aliithibitisha imani dhini ya giza ninaloliona kwako na dunia nzima. Mungu alitutetea. Next time katika situation kama hizi Tumuombe Mungu, sio kila kitu science tu.

Somebody tried to Argue about God[emoji3][emoji3], you know what was the answer?..
Here it is...
If man's brain is formed by many tissues and is formed by different chemical materials, how can you trust your Arguing ability on these huge matters about God? Simple and clear[emoji3]
Naheshimu maoni YAKO! ... hapo nilikuwa natema nyongo yangu na ninatumaini sipo peke yangu!
 
Back
Top Bottom