#COVID19 Rais Magufuli yupo sahihi sana kuhusu COVID-19

Inasadikika Nchini Israel wameweza kutengeneza Antibody ambazo zitaifanya miili yetu na immune system ziweze kutambua Coronavirus na kuiua na pia hiyo antibody itabaki mwilimi kama kinga ya coronavirus
 
Mliotukebehi tuliomuunga mkono Rais aibu yenu😛
 
Magufuli alipokuja na namna sahihi ya kupambana na gonjwa la uviko 19 alibezwa mpaka na baadhi ya watanzania wenzetu.

Wakasema ni rais asiyeamini science.

Ila leo dunia inaanza kufata njia zake.

Uingereza imefungua njia na wengine watafata.

Rip Magufuli.
 
Sio kweli!
... alichofanya Magufuli ni kuchagua 'the worst alternative' ya ku'deal' na Korona!
... sio kwamba hao aliowaita mabeberu hawakuwa wanajua kuna 'alternative' hiyo, NO, ila wamekuwa wakijaribu njia zingine rafiki zaidi kwa binaadam na kumuacha Jiwe na raia wake wafanyie majaribio 'alternative' hiyo ya kikatili zaidi!
... Neno 'HERD IMMUNITY' ni la kizirankende?

 
Ushawahi ona UKIMWI unapatikana kwenye papai, au Malaria?
So how CORONA ipatikane kwenye papai? Hiyo may be was a trick pandemic nk.
KIKUBWA ukisha sema tumuombe Mungu basi umefaulu katika yote.
Mungu ndiye aliyetulinda ndugu, Magufuli aliithibitisha imani dhini ya giza ninaloliona kwako na dunia nzima. Mungu alitutetea. Next time katika situation kama hizi Tumuombe Mungu, sio kila kitu science tu.

Somebody tried to Argue about God[emoji3][emoji3], you know what was the answer?..
Here it is...
If man's brain is formed by many tissues and is formed by different chemical materials, how can you trust your Arguing ability on these huge matters about God? Simple and clear[emoji3]
 
Hapa ndo sehemu nilipokubaliana na magufuli kwenye misimamo Yake.
Bideni licha ya kuwa na kila Aina ya chanjo lakini bado anataka kutoa barakoa milioni 400 zenye ubora wa juu kwa Wana nchi wake
 
Naheshimu maoni YAKO! ... hapo nilikuwa natema nyongo yangu na ninatumaini sipo peke yangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…