Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

saivi KINGI MEKA Rostam Aziz is running this town.
 
Roho ya kiongozi huwaingia watu wake. Kikwete alikuwa na roho ya kupenda starehe, Watanzania tukala sana bata.
Magufűli ana roho ya umasikini, umasikini umetamalaki nchi nzima

Hizi ndizo sifa za rais wa Tanzania mwenye roho ya kimaskini kwa mtazamo wa wenye roho za kitajiri humu jf!

1. Anakuta nchi/taifa kubwa kama tanzania halina ndege hata moja halafu ananua ndege zaidi ya nane mpya kabisa,
2. Ana hakikisha watoto wa watanzania hawilipi ada shule za msingi na sekondari,
3.Anahakikisha mikopo ya elimu ya juu inapatikana kwa wanafunzi wengi wenye sifa na hakuna tena maandamano ya kudai mikopo ya masomo.
4. Anahakikisha kwamba hakuna watumishi hewa serikalini wanakula fedha za nchi bure
5.Anajenga vituo vya afya, hospitali za wilaya, hospitali za kanda kila mahali hapa nchini
6. Anajenga reli ya kisasa ya standard gauge
7. Anajenga bwawa kubwa la umeme kwa ajili ya kuhakikisha nchi yote inapata umeme hadi vijijini
8.Anasimamia upanuzi wa bandari zetu Dsm, Tanga na Mtwara ili meli nyingi na kubwa ziweze kutoa huduma
9.Anahakikisha barabara za lami zinaendelea kujengwa na nyingine zinapanuliwa nchini.
10. Anaondoa vihiyo (wenye veti feki) wote katika utumishi wa umma ili wenye sifa waajiriwe
11. Anatengeneza meli na vivuko vipya na vya kisasa na anakarabati meli na vivuko katika maziwa ya nchi hii
12. Anahakikisha kwamba huduma ya maji inapatikana katika miji ya nchi yetu
13. Na mengine mengi ya kimaskini siwezi kuyataja yote
Naombeni wengine mnsiadie sifa za rais wa Tanzania mwenye roho ya kitajiri tuzijue ili taifa liweze kuendelea.
 
Njaa gani, michango ipi, magonjwa yapi ambayo ileletwa na mheshimiwa Magufuli? Na uhuru upi ambao umekosa? Funguka vizuri mi bado sijakuelewa. Hakuna taifa lolote hapa duniani lilipiga hatua nzuri ya kimaendeleo kwa njia za mkato na lelemama. Hili taifa liendelee lazima mambo mengine yawe sacrificed. Hakuna ready made ya maendeleo hapa duniani. Vumilia tu haya haya yote yanayofanyika yakikamilika furaha yake ni kubwa zaidi kulicho hayo machungu unadai unayapata.
 
Tuheshimiane , unafiki sipendi, Hakuna sehemu wanamchukia Magu km Dar, labda Kanda ya ziwa tu. yeye anajua hivyo ndiyo maana anawaburuza hovyo mpaka kuwateka! Pengo alimpendekeza achukue Form kwani wewe ulitaka nani ampendekeze?
 
Sikujua mpaka sasa bado kuna watu wa mawazo mgando kama yako? Bado hujafumbua macho tu?
Siyo lazima mimi niyakubali mawazo na mtazamo wako na vilevile siyo lazima wewe kukubaliana na mawazo au mtazamo wangu. Hakuna mtu ambaye yeye ni standard ya mawazo na mtazamo kwa watu wengine ila tunaweza kujifunza kutokana na mawazo au mtazamo wa wengine. Hivyo usitake kulazimisha mambo nimekuuliza vizuri tu badala ya kujenga hoja unauliza vitu vingine tofauti. Jibu swali kwa hoja siyo kwa kuuliza swali! Unless kama upeo na uwezo wako wa kujenga hoja umeisha hapo kwenye kuuliza swali!
 
Aisee yaani magufuli alifikiri kuendesha nchi ni kama mkoa wa tabora leo hii mahusiano yake na nchi za nje ni kama unga na mchele huwezi kuleta maendeleo ndani ya nyumba yako huku majirani ukiwatukana kuwa ni mabeberu,leo hii tunagundua kumbe huku mkoani anakopita na kusema tuna pesa,tuna akili ,ugonjwa wa corona umekuja kuumbua kila kitu ,kwa haraka haraka inamaana ccm yote imeoza maana leo mawaziri wanaiba mara elfu lakini wanahamishwa kutoka wizara A na kwenda B ukiharibu b unakuja c yaani kuchimba na kufukia nchi haitasonga mbele kwa chama kama hiki
 
Chama kipi kitaleta maendeleo na kwa mikakati ipi? Cheap politics + emotions can mislead you decision making abilities!
 
 
Biashara zinafungwa kwa kasi ya standard gauge.
 
CCM ni watu wa ajabu eti walikosa mtu wa kumpa nchi wakampa saikatriki kesi ndio aongoze .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…