Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

Tatzo watu wachache kama nyinyi,,ni shda kujua magufuli anataka nini hii nchi inaitaji rais kama huyu mtanyoka .Kazi nikulalamika tuu,,weka hoja huo upepo tu
 
kt the irreplaceable,
Unajua kwanini Mkapa "alishinda" 1995 na alishinda 2000? Tafakali! Ilikuwa miaka mitano tuu mind you!

Charismatic leader hahitaji decades kwa mabadiriko, labda husomi historia za viongozi bora, hivi Ping alichukua muda gani kubadili China? Je Nao viongozi wa triggers walichukua muda gani?

Tathmini ya charismatic leader huwa inaanzia 100 days since anaapishwa! That is why huwa kuna analysis ya siku 100.

Don't talk politics talk reality, waimbaji wa sifa santuli zenu tunajua mnaimba elimu bure, ndege, na daraja la tazara, bila kujua kiini cha hayo, hebu kiunaga ubaga elezea charisma ya huyu, taja kimoja Hata kidogo alichokigundua na kukirekebisha for the betterment of our well being, kimoja tuu, achana na shule bure za ilani maana ni watunga ilani waliandika!
 
Kasimba G, At least una point tofauti na wenzako. Rais alipoingia madarakani alikuta mfumo mbovu wa kiuchumi, private sectors walikua wanategemea pesa ya serikali kijiendesha, utakuta mtu anajenga hotel anategemea vikao vya idara na wizara za serikali wakutanie ukumbi wa hotel yake then tena serikali ikachukue kodi kwake ijiendeshe... yaani unachukua pesa mfuko huu unapeleka mfuko huu. Ndio maana kipindi cha mkapa na kikwete hakuna major project zilizoinufaisha nchi licha ya kuwa mnawasifu leo, jiulize walifanya nini?

2)benki zilikua zinategemea pesa za umma (serikali) kujiendesha. Taasisi kama Tanesco, NSSF, NIC, UNIVERISITY ZOTE NK walikua wanatunza pesa zao private bank, then wananchi ndo wakakope ili bank zipate faida. Yaani pesa ya serikali ndo ilikua inazungusha private sectors. Hawakua wabunifu kabisa. Leo hii pesa ya serikali inaenda BOT moja kwa moja private sectors zimepoteana.

Nini magufuli anafanya?
Magufuli anaongeza tax base ili nchi ipate kodi ya kutosha.... hakuna sehemu itainufaisha nchi hii zaidi ya bandari zetu, tumezungukwa na nchi kumi na nne ni lazima kuziteka kibiashara. Unapotaka kumuwini mteja ni lazima uje na ubunifu, SGR ikikamilika mzigo utatoka dar to kigali within a day...... kwa maana hyo mzigo unaweza fika hadi kongo ndani ya siku mbili, hakuna mfanyabiashara ataacha hii kitu. Ndio maana wachina wanataka bandar tanzania kuna kitu waneona.

3) umeme. Unataka nizungumze na faida za umeme?
4)utalii, nchi ilikua kama kusiwa kilichotengwa yaani ulikua ukitaka kwenda south africa tu lazima utafute ndege za wawekezaji, ndege za wawekezaji haziitangazi nchi, ndege imeandikwa fast jet au precision air, now ndege zitaanza kwenda south Africa, india mpaka china na ubavuni zina nembo ya "the wings of kilimanjaro" baada ya mda mfupi matakeo yataoneka. Biashara ni matangazo

5)uwajibijaji... nenda segerea utawaona akina seth na rugemalira. Hawa si walihonga mpaka ikulu serikali zilizopita??

Mnataka rais aanza na nini?? Au aruhusu maandamano? Leteni hoja aanze na nini?
 
kt the irreplaceable, Kwa nini unatumia nguvu sana kulazimisha watu....usifikiri watu wanaotoa views zao wanamchukia rais...kwa taarifa yako wengine ni wale kindaki ndaki......ila ukweli lazima usemwe mambo yame paralyse
 
Kwa nini unatumia nguvu sana kulazimisha watu....usifikiri watu wanaotoa views zao wanamchukia rais...kwa taarifa yako wengine ni wale kindaki ndaki......ila ukweli lazima usemwe mambo yame paralyse
Ndugu mbona hutoi hoja? Wapi tumekwama? Tufanye nini? Dadavua kidogo mkuu......
 
britanicca,
He is just another "gingantic political conman" that happened to deceive the innocents,desperates and illiterates as well as semi literates like the half cooked professors (Kabudis and his likes) who hang around him for their cakes! In short he is a scum!
 
britanicca,

Aksante. Pamoja na kwamba sikipendi chama chake ( siwezi aslani kumpatia kura yeyote asimamaye kupeperusha bendera ya chama hiki hata awe yesu wa nazareth), Mimi kwa mtazamo wangu ni kiongozi sahihi kwa aina ya watu anaotuongoza.

Taifa la wazembe, wanafiki, wezi wezi na tabia nyingine za kifala fala zinahitaji mtu kama yeye.

Kuna maeneo machache yanahitaji improvement.

Eneo muhimu ni namna anavyowasiliana/ kuwakanya viongozi wenzake na double standards katika kuwaadhibu wanapochemka.

Kwa maoni yangu mtazamo wake na yanayotokea dhidi ya vyama mbadala na wanasiasa wake lazima ubadilike.

Mazuri ni mengi kuliko mabaya ( ambayo mengi yake hayazuiliki unapotafuta mabadiliko na mengine ni changamoto tu za hapa na pale).

Ilikuwa ni lazima muda ufike, serikali kuwekeza katika Miradi mikubwa ambayo inawafaidisha wengi. Sawa inawezekana impact yake isionekane sasa ila tutakaojaliwa kuwepo huko mbeleni tutasimulia. Wakati ni sasa.

The survival of the fitest - biashara zifungwe tu, maadam demand ya goods ipo, wengine wenye imani watafungua.

Ingawa sitokaa nimpigie kura ila nikiri ukweli namkubali sanaaa.


Sitoi Chakula cha njaa.... aaaaaah. Walidhani anatania.

Eneo moja tunalokosea. Kufikiri kwamba hajui analofanya. He is very informed. Kila uamuzi matokeo na mapokeo yake yanajulikana before- na kinachomfanya kuwa bora na nimkubali ni kwamba haogopi matokeo hayo.

Serikali nyingi hufanya maamuzi kwa sababu wazijuazo wao, na huenda kwa muda huo ikaonekana ni kituko but mbeleni tuliona faida zake.

Uongozi usikie tu kwa wengine. Uhondo wa ngoma ingia ucheze.

Tusiwe na woga, huyu ni mtu sahihi kwa wakati huu.

Tuendelee kutoa maoni na ushauri kwa adabu, hata asipoaknowledge ameupata sisi tunakuwa tumetimiza wajibu wetu na kulisaidia taifa.
 
Akiexproit uchumi wa bahari kuu,

akanipigia mchuchuma na liganga,

akaimarisha usafiri wa abiria na mizigo lake tanganyika hasa kwenda kongo,

tukapata mwarobaini wa soko la mazao makuu ya kibiashara, Chakula na soko la nyama,

Akapiga hospital mbili level za zonal pale ntwara na tabora atakuwa ametuacha pazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…