Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

1. Zitatamatika lini ? Siku gani ?

2. Faida ni nyingi , kama zipi hizo ? Zitaje

3. Kwani utaratibu wa ziara za viongozi wetu upoje ? [ Umesema zimetokea zime gongana ].
 
Mkuu tuna matumizi ya hovyo ya Kodi zetu kwa ziara ambazo hazina kichwa Wala miguu.Nchi yetu bado masikini lakini matumizi ya viongozi wetu Ni makubwa ukilinganisha na matatizo yetu
Tuna tatizo kubwa sana katika taifa lenye kuhitaji utatuzi.
 
Mfumo wa kitaasisi ndio unaendesha nchi sio watu,wakiwa nje ni maelezo tu
 
Ukijibiwa hoja hizi kwa masirahi ya nchi naomba unitag mkuu
 
Tukio hilo linafanyiwa spinning VIZURI kwa kuwaua vibaka au panyaroad!!

Hiyo inatosha kabisa kuonyesha the wheel is in motion kama kawa!

Halafu NAMBA moja anakwepa lawama za operation panyaroad Ndio Maana kwenda kula Bata!!wameachiwa washika chuma wafanye operation kali wakati boss was hayupo ILI anawe mikono kutohusika japo kahusika!

Pia kuna hii ya nccr mageuzi pia ni operation yenye malengo maalumu,kakwepa joto la mahakama kudharaulika na polisi kujichukulia SHERIA mkononi ya kuwaua panyaroad!!!

Mitazamo huru!
 
Nchi ipo chini ya viwavi jeshi waache waitafune na kuisukutua wanavyotaka
 
Babako ndio ameachiwa ofisi, unafahamu jina lake?
 
Mzazi unayeshinda kwenye sebule za jirani zako kwa kuwa wameziweka vizuri, huna maana.
Si utengeneze kwako nao wawe wanakuja ?
 
nchi itakua chini ya spika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…