Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Jifunze kwanza kuandika!Kuna baadh wa watu akir zao ni finyu mnafulahi mtu kufarik amjui kama kila nafs itaonja mauti kifo ni ibada tunajua kifo kimegusa wanyonge watu wenye mipango yenu nd mnafulahia
Yaani huyu kaipata u VP itakuwa balaa ile miaka sita cha mtoto tutaona moto wa kijaniAtakuwa anakesha na waganga wa kutosha
Haaa haaa haaa kwahiyo kaoga za kutosha, hapo Mheshimiwa Rais aliongozana na katibu mkuu wa CCMAtakuwa anakesha na waganga wa kutosha
Abubakari KunengeHivi mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam anaitwa nani?
Itakuwa nafasi bado ipo waziHivi mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam anaitwa nani?
YapHaaa haaa haaa kwahiyo kaoga za kutosha, hapo Mheshima Rais aliongozana na katibu mkuu wa CCM
Aende wapi wakati Mzee hajasitiriwa? Kuna utaratibu mjane hatolewi tu !Duh, kwa hiyo kashatoka Ikulu! Aiseee
Hafai kabisaYaani huyu kaipata u VP itakuwa balaa ile miaka sita cha mtoto tutaona moto wa kijani
I see. Mungu anakuona ujue.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ahaaa!!!! kumbe Rais ni Mama Samia.kiburi kwisha jiwe
Acha tu,..maisha yanaenda kasi kuliko. Wiki tu! Tayari tuna Rais mwengine. Mbwembwe zote zile na ubabe sasa hivi yupo tu..kiwiliwili.Inatia simanzi,huruma na inafikirisha.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ahaaa!!!! kumbe Rais ni Mama Samia.kiburi kwisha jiwe
HahahTena angekupiga vyuma vya kutosha utoboke kama neti