Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

Kutumia maneno mengi haina maana ndio ujuzi wa utunzi bora wa hotuba...

By the way kiongozi bora ni yule mwenye uwezo wa kuongea yeye mwenyewe huku kilichoandikwa kikiwa kama muongozo tu na kumbukumbu kwa siku za usoni...
 
Jf ni kokoro,kuna ma great thinjer na ma great sinker
Yeye yupo kundi gani?
 
Sifa ni hizi:
1.Ahakikishe ana kadi ya Chama pendwa!
2.Awe na ujasiri wa kuisema vibaya CHADEMA hasa hasa kumtukana Mbowe.
3.Awe Chawa hasa na agalegale kwenye matope akimsifia Rais!
Akiwa nazo hizo anaweza kufikiriwa!
 
Acha abaki huku tuzidi kuelelimika zaidi.🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…